Walter Reed Programme - Mbeya

Tsidekenu

Senior Member
May 7, 2009
141
41
Bandugu,

Naomba yeyote mwenye info kuhusu hii organisation kuhusu mazingira yake ya makazi, mshiko na benefits kwa managerial positions anisaidie.

Thanks.
 
ni ya wamarekani ni nzuri sana

thanks, bebii for this, what about their perception towards local staff? i hear US based ngos huwa wanamistreat sana local staff,.

vipi kuhusu mshiko? any idea managerial positions salary huwa ina range kwenye ngapi hadi ngapi?
 
Siijui kiundani ila kwa mtaani wafanyakazi wake wanatesa sana na wako vizuri. Most of them pale naona kama ni indegeneous, sijawaona hao wamarekani. Ngoja wengine wenye more dtails watakuelezea
 
Siyo wabaya, kuna Mmarekasni mmoja mwanamke ambaye ni Site Director, M Cameroon ambaye ni incharge wa Lab na wanaobaki ni wabongo. Malipo yao ni ya kawaida kwa mtu mwenye profession yake, ujasusi ni kama kawa kwa kila alipo mmarekani. Ofisi zao zipo ndani ya majengo ya zamani sana katika hospitali ya rufaa. Hire and fire ni mtindo wa istitution nyingi za kigeni kwa kuwa hawahitaji mzaha wa kibongo. Ukitibua jiandae na termination notice ya saa 1 au nusu saa.
 
Tumekuita kwenye interview unatuchunguza huku so you are fired before interview!
 
Mkuu...unajua lkn wanajiusisha na nn...kama hujui, tafuta uzi flan hivi unasema....Je, tanzania tumeizinisha ushoga..
 
Back
Top Bottom