Mr.Toyo
JF-Expert Member
- Feb 9, 2007
- 433
- 117
Mr TOYO.Ile mada yako nyengine ya REVOLUTION IN US imekwenda wapi?.Mbona tungeendelea kuchangia kule bila tabu.
Nilijaribu kuperuzi sikuiona tena na nahofia kuwa huenda imefutwa (roho ikaniuma sana) ndo nikaanzisha nyingine (kwa kuwa mimi ni mkereketwa)
Naamini kuwa Moderators watatumia busara/hekima ya kuziunganisha zote (zinazofanana kimaudhui) katika thread moja.
Tuko pamoja mpaka kieleweke!!
GOD bess JF.