Wall Street protest

Are you the 1%?

lol! 1% against 99% ya walalahoi ambao sasa wamechoka na the so called "American Dream" ambayo inawanufaisha wachache. Je, protest hii italeta kweli mabadiliko au itakuwa ni nguvu ya soda na mfumo huu wa kiuchumi ambao wengi wameanza kuupinga kuendelea kama kazi.
 
NN Republicans katika maandamano kama haya ya Tea Party walikaa kimya wakawa wanakenua huku wakiwafagilia sasa kibao kimegeuka wameanza kusema hovyo kuhusu hii protest inayoendelea New York na miji mingine mikubwa nadhani wana wasiwasi kwamba inaweza kuwaharibia ndoto yao ya kuingia WH kiulaini 2012. Kama wangekuwa wana uwezo wangeisimamisha hata kesho.

GOP walikuwa mabubu kwenye kwa teapartiers kama ambavyo Dems wako kimya kuhusu hawa jamaa zako. Sana sana nilichosikia ni uungwaji mkono na Dems na nasikia msababishaji mkuu nyuma ya pazia ni George Soros.
 
Si unajua muwamba ngoma....

Last edited by a moderator:
lol! 1% against 99% ya walalahoi ambao sasa wamechoka na the so called "American Dream" ambayo inawanufaisha wachache. Je, protest hii italeta kweli mabadiliko au itakuwa ni nguvu ya soda na mfumo huu wa kiuchumi ambao wengi wameanza kuupinga kuendelea kama kazi.
Sidhani kama itakuwa nguvu ya soda,walikuwa wanawavizia waone baridi ikiingia kama they still gonna be there.Lakini kama ni kweli uchumi ni mbaya na unemployement at the higher rates,basi tegemea resolve yao kuwa even stronger.Na pia yanasambaa sana kwa ksi,tena na haya mambo ya facebook ndo balaa.Nadhani they are serious hata kama media inawadown play.Tena hiyo ndo inawamotivate zaidi.Sana sana kinachoangaliwa na wanasiasa ni kujaribu kuona ni kivipi wata benefit from it.Definetly repubs cant, umeshasikia kauli za kina Bloomberg,Cain na wengineo.
 
  • Thanks
Reactions: BAK

Your boy is toast! Unemployment rate is projected to remain high.
 
Si unajua muwamba ngoma....

Lawrence Macdonnel alimweka kwenye kona juzi kwenye last word.Jamaa si mchezo,alimbana Cain akanonekna kama corward.Hivi lazima ufikieri kama yule mpuuzi ili uwe tajiri?Huyu abakie na bishara zake sijui za Burger King
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: BAK
Hili lijamaa silipendi aisee. Liko chafu chafu tu. Ndo maana sishangai likiwaunga mkono hao wehu wa Wall Street.

LOL! hahahahahah hana muda banaaa wa kujisafisha bali wa kutetea walalahoi :):):)....maana sinema zake zimeingiza michuzi ya kutosha tu hivyo sidhani kama hali hiyo inasababishwa na ukwasi :)
 
Sidhani kama itakuwa nguvu ya soda,walikuwa wanawavizia waone baridi ikiingia kama they still gonna be there.Lakini kama ni kweli uchumi ni mbaya na unemployement at the higher rates,basi tegemea resolve yao kuwa even stronger.Na pia yanasambaa sana kwa ksi,tena na haya mambo ya facebook ndo balaa.Nadhani they are serious hata kama media inawadown play.Tena hiyo ndo inawamotivate zaidi.Sana sana kinachoangaliwa na wanasiasa ni kujaribu kuona ni kivipi wata benefit from it.Definetly repubs cant, umeshasikia kauli za kina Bloomberg,Cain na wengineo.

Arab Spring goes hand in hand with America Spring!
 
Mkuu,apples to apples,where does the 40 came from?Ni fact kuwa kuna 99 and 1 percents respectively.Hiyo arubaini cjui umeitoa wapi?

Respectively there are also 60 and 40 percents. So it is not fuzzy math.
 
You cant just come up with numbers bana.Umeezitoa wapi?The issue is not math bana.Occupy Wallstreet ni 99 percent.Thats the fact.Your numbers dont represent netin.
 
George Soros na Michael Moore ni 99 percent?
 
111008111523-washington-dc-protest-war-story-top.jpg

Pepper spray used on demonstrators at Air and Space Museum - CNN.com
 
Back
Top Bottom