Kwa pale New York ukifanikiwa kuzuia traffic Brooklyn bridge basi ujuwa ujumbe umefika na ujuwe hasira za waandamanaji ni kubwa.
Safi sana,wacha nawao yawakute,wamechochea mauaji dunia nzima wamehamasisha vurugu wamezalisha magaidi wameifanya dunia isiwe tena sehemu salama yakuishi,MALIPO NI HAPA HAPA DUNIANI AKHERA HUENDA HESABU,WACHA NAWAO WAONJE JOTO LAJIWE,walikua wanashangilia ya wenzao tu,wacha nawao waone tamuyake.
Don't, he has been advocating for that toka aingie madarakani but it is not happening. maybe this will help him fulfill one of his electoral promises?Let's wait and see: A major lesson is coming to the American plutocrats, I feel sorry to my brother Barack!
Kuna mambo media za magharibi zinaficha, lakini hili wanalionyesha, mapema leoWajinga sana hao mbwa wanajiita NATO Wako wapi wanaua Africa tu ovyoooo...hili kwenye cnn wala BBC huwezi kuliona wanasubiri ajali itokee congo waweke front page wana laana