ChingaMzalendo
Senior Member
- Nov 9, 2008
- 192
- 3
January Makamba ameingiaje? January ameingizwa humu na mpambe wa Mashaka, Kilandu, CCMasili (msome hapa na hapa). Tuwaulize nyinyi mliomchomeka hapa kumpamba.
January ni plagiarist, ni kilaza, ndio maana wala hata hakubisha akaondoa haraka iwezekanavyo zile articles alizokuwa amezibandika kama zake, akazirudisha na attribution ya NY Times siku ile alipoanikwa hapa JF. Na athubutu kuzirudisha kwenye blog yake na jina lake kama mwandishi. Muulizeni kwa nini aliondoa jina lake?
Kitu kingine January amefanya baada ya kuwa exposed hapa siku zile ni kuondoa access kwenye profile za wachangiaji wake, kama Waziri mstaafu Diallo ambae alitia aibu jinsi alivyo ji introduce occupation yake. Sasa hivi huwezi kuona profile/wasifu wa wachangiaji. Ukibonyeza jina inakwambia profile not available. Naona wamefanya mabadiliko. Wanaficha profile baada ya kukosolewa na JF. Umeshaona wapi watu wanaanzisha blog halafu wanaficha profile zao? Aibu tupu, vilaza, wezi wakubwa. Nadhani Waziri aliomba January amtoe, au January aliamua kuwahi kumsitiri Waziri Diallo. One or the other. Sasa watu kama January, Diallo, Shayo, Mashaka, watupu kama hawa ni wa kuwaonea wivu?
Fool, forget about the rest, especially the kids, mashaka and january; let it be between me and you one on one. You dont know me I dont know you, lets square it off.........
We are sick and tired of your immaturity....... forget about those kids you have been victimizing. I am going to expose your shoplifting behavior.