Walitaka kuniuwa, asema Sheikh Farid

Jamani uamsho ni unafiki mtupu hili risasi wala halinishingazi; hawa watu wanawatumikia mabwana zao wa uarabuni, hilo linaeleweka wazi; tatizo ni lilopo ni kuwapa ajira vijana hao wote wanaokimbilia uamsho hawajui wanachokimbilia.

Chama
Gongo la Mboto DSM
 
Sina rival yoyote na mleta mada .. najaribu kusimama kwenye ukweli...! habari aliyoleta athibitishe kama gari kweli shekh alionesha ni yake.. kama sivyo basi mleta mada ni mzushi na kwa sheria za JF afungiwe kwa kipindi fulani

nimekupata

chakufanya report
 
29dd3d16-31b1-d8d5.jpg

Shame on you, yaani mnashindwa hata ku edit picha
 
huyu jamaa hajatekwa wala nini, ana attention seeking disorder, na anawatumia wafuasi wake wazenji kinyume na maumbile ya fikara zao
 
Hawa waarabu wana ajenda ya siri ya kumrudisha sultani kwa kuwatumia waislam ambao hawajui kinachoendelea. Wambie wakajaribu hii Saudia, Yemen au Qatar waone shingo zao kama hazitegeuzwa za kuku. Walaaniwe na washindwe. Hivi kweli usalama wa taifa wakimtaka mjinga kama huyu watamkosa au ni kutafuta sifa na chanzo cha vurugu?
 
Hili jamaa limejificha dawa nikutangaza kuna hitma halafu pilau na ndizi mbivu zitakuwepo kwa wingi lazima atoke huko mafichoni ili aje afinye Hilo pilau
 
Anasema tunatendewa kama sio raia wa nchi hii....Anasahau hata yeye anatenda kama sio raia wa nchi hii..Eti waislamu waislamu gani hawa majambazi tu sasa tutawaonsha kuw serikali ishindwa tunaweza sisi wenyewe kama wakristo shenzi type
 
huyu jamaa hajatekwa wala nini, ana attention seeking disorder, na anawatumia wafuasi wake wazenji kinyume na maumbile ya fikara zao

Mkuu Janjaweed mbona unaleta misamiati mipya kwenye lugha yetu! Watu wanatumiwa kinyume na maumbile ya fikra zao!?
Mkuu watu wa aina ya huyu sheikh unawaachia FBI/CIA wanahagaika naye na matokeo yake yataonekana haraka. Kumbuka kilichompata mhadhiri mmoja wa kidini kule Mombasa akijulikana kwa jina la Sheikh Abdul Rogo. Tayar ameishakuwa historia.
 
Last edited by a moderator:
Hawa waarabu wana ajenda ya siri ya kumrudisha sultani kwa kuwatumia waislam ambao hawajui kinachoendelea. Wambie wakajaribu hii Saudia, Yemen au Qatar waone shingo zao kama hazitegeuzwa za kuku. Walaaniwe na washindwe. Hivi kweli usalama wa taifa wakimtaka mjinga kama huyu watamkosa au ni kutafuta sifa na chanzo cha vurugu?

Mkuu watu wanapenda kusingizia ati wanataka kuuawa. Kuua ni kitu rahisi tu hata polisi wa kawaida tu wanaweza kutekeleza hilo bla shida.
 
Mkuu Janjaweed mbona unaleta misamiati mipya kwenye lugha yetu! Watu wanatumiwa kinyume na maumbile ya fikra zao!?
Mkuu watu wa aina ya huyu sheikh unawaachia FBI/CIA wanahagaika naye na matokeo yake yataonekana haraka. Kumbuka kilichompata mhadhiri mmoja wa kidini kule Mombasa akijulikana kwa jina la Sheikh Abdul Rogo. Tayar ameishakuwa historia.
Mkuu nisamehe kama lugha kali sana

Ila sioni namna yoyote ya kutafakari huyu jamaa amachowafanyia supporters wake, ukifuatilia wanavyosema ametekwa, unapata hisia kabisa ni choreographed
 
Wakati wenzao wanapiga shule waendane na kasi ya dunia kiteknolojia na kisayansi na diplomasia zingine wao MADRSA pigeni shile acheni UJINGA kwanza R.I.P wote
 
Madai ya kuitaka Zanzibar huru yana ulazima gani wa ku create vurugu zinazoendeshwa na wafuasi wa Sheikh Faridi? Hapa ni kama vile tunathibitisha kauli ya Karl Marx kuwa dini ni ''bangi''
 
Mkuu nisamehe kama lugha kali sana

Ila sioni namna yoyote ya kutafakari huyu jamaa amachowafanyia supporters wake, ukifuatilia wanavyosema ametekwa, unapata hisia kabisa ni choreographed

Yale yale ya msabaha
 
Back
Top Bottom