Waliozaliwa tarehe 27 september

BornTown

JF-Expert Member
May 7, 2008
1,716
481
Wanajamvi napenda niwatakie maisha marefu wale wote tuliozaliwa siku kama ya leo.
Ningependa tuazimishe siku hii kwa amani na upendo, Na ningependa tukutane walao tupige moja baridi moja moto leo pale Breakpoint ya mjini kuanzia saa 12 jioni.

HAPPY BIRTHDAY TO ALL MY TWINS:party::party::party:
 
Sijazaliwa tarehe hiyo lakini ntakuja
wanajamvi napenda niwatakie maisha marefu wale wote tuliozaliwa siku kama ya leo.
ningependa tuazimishe siku hii kwa amani na upendo, na ningependa tukutane walao tupige moja baridi moja moto leo pale breakpoint ya mjini kuanzia saa 12 jioni.

happy birthday to all my twins:party::party::party:
 
Wanajamvi napenda niwatakie maisha marefu wale wote tuliozaliwa siku kama ya leo.
Ningependa tuazimishe siku hii kwa amani na upendo, Na ningependa tukutane walao tupige moja baridi moja moto leo pale Breakpoint ya mjini kuanzia saa 12 jioni.

HAPPY BIRTHDAY TO ALL MY TWINS:party::party::party:

nipe tenda ya kuandaa birthday cake mkuu!!!!!!!
 
wanajamvi napenda niwatakie maisha marefu wale wote tuliozaliwa siku kama ya leo.
ningependa tuazimishe siku hii kwa amani na upendo, na ningependa tukutane walao tupige moja baridi moja moto leo pale breakpoint ya mjini kuanzia saa 12 jioni.

happy birthday to all my twins:party::party::party:

mm pia mdowezi ila nitakuja kuwashangilia
 
Back
Top Bottom