Waliozaliwa Baada ya Mfumo wa Vyama Vingi vya Siasa, Kupiga Kura 2015. Toa maoni yako

Mzalendowetu

Member
May 22, 2012
87
34
Katika uchaguzi mkuu ujao wa mwaka 2015, tutashuhudia tabaka la vijana waliozaliwa baada ya kuanzishwa mfumo wa vyama vingi vya siasa nchini wakipiga kura kwa kuchagua Rais, Wabunge na Madiwani. Wengi wa hawa vijana, ni wale ambao wamepata elimu duni ya sekondari kwa kusoma katika shule za kata zilizoanzishwa kwa wingi miaka ya 1990. Nini maoni na mtazamo wako kwa kundi hili kushiriki kuchagua viongozi wao?
 
Back
Top Bottom