Walioukwaa ubunge E. Africa

jmnamba

Senior Member
Mar 31, 2012
156
25
Hawa ndio walioshinda kuwa wabunge wa Afrika
Mashariki ,Shayrose Banji,Anjela Charless
Kizigha,Mwinyi Hassan,Taslim Twaha Issa, Kesi
Ndelakindo Perepetua, Kimbisa Adam
Omary,Murunya Bernad,Makongoro Nyerere na
Yahya .
Tunawapongeza kwa ushindi huo na pia
tunawatakia kila la kheri katika majukumu yaliyo
mbele yao.

Source: Jiachie blogspot
 
Back
Top Bottom