Waliotumwa kumuua Dr. Ulimboka wapata PIGO Afrika Kusini

Status
Not open for further replies.
Ndugu yangu unajua Kuna Mungu? Kwanini kufanya mateso yale kwa binadamu mwnzako? Mkuu Jason Hata kama unalipwa vizuri but usifurahie kuua binadamu kuwafurahisha akina Kikwete et al
Hana lolote bwegge tu huyo, don't buy a cheap story from him. anadhani kila aliyepo hapa JF ni mbumbumbu wa kusikiliza ngonjera zake.
 
JB kajivua nguo rasmi leo! kweli muda huongea!
Ni heri tu angejivuwa nguo peke yake, bali amevuwa nguo na kuanza kulicheza sebene uchi kariakoo saa 7 mchana, what do you expect?

Ndani ya Usalama wa Taifa mimi naongea na kudeal na watu wa level ya kuanzia DSO, sasa mpumbavu kama huyu alikuwa anadhani Usalama wa Taifa ni malaika na siyo sisi binadamu ambao tupo hapa?
 
Tuliwahi ambiwa wanausalama kugeuza JF ionekane kijiwe cha porojo kwa taarifa za kupika! This is happening now!
Si kweli wewe unaongozwa na hisia na habari za kuhadithiwa, hakuna mtu wa Usalama wa Taifa mwenye muda huo, leo ni public holiday hawawezi kuacha kunywa bia zao kukaa mitandaoni labda mnahadithiwa tu na kamwe hamuwajui hata hao Usalama wa Taifa.
Kwa Taarifa yako wengi wao hata kutumia Computer hawajui.
 
waliomteka ulimboka hawakuwa na nia ya kumuua, kama wangekuwa na nia hiyo asingeachwa hai. kwani walikuwa na bunduki, pia wangeweza hata kumvunja shingo au hata kumnyonga akafa, kinachoonekana kwa wale wana intelijensia wataelewa, hakukua na nia ya kumuua, bali walikuwa na nia ya kumuadibisha tu kwa njia ya mateso alafu aachwe hai.

Kwa wale wenye akili watakubaliana na mimi kuwa, kiongozi wa mgomo kuuawa si rahisi sana kama wagomaji, kwasababu machafuko yanaweza kutokea mfano wananchi wangeandamana kupinga icho kitendo..hivyo hakukuwa na nia kabisa ya kumuua, kama nia hiyo ilikuwepo, hakika asingekutwa hai, angepiga tu bunduki hata palepale alipotekewa, angefuatwa nyumbani kwake akapigwa kama wale waliomfata Pro. Mwaikusa, angefanyiwa chochote na ingejulikana ni majambazi tu yamefanya hivyo....kama ulimboka ana akili, namshauri akipona aachane na mikumbo, atumie elimu yake ambayo kodi za wananchi watz masikini zilimsomesha ili wananchi hao wasife na pia ajenge maisha yake kabla hajazeeka. labda kama anataka kuwa mfia mgomo ndo aendelee kujilipua.

pamoja na kwamba ipo strong allengation kwamba serikali yaweza kuwa imehusika, cha ajabu ni kwamba ushahidi haupo. sasa kuituhuumu selikali si sahihi, labda kama serikali itakuwa inatuhumiwa kwa kushindwa kuwalinda raia wake ambapo hata hapo serikali inaonekana haijawa zembe......ulimboka ukipona, kama unanisikia, achana na mikumbo, tafuta maisha yako watoto wako waje waishi vizuri utakapozeeka au ukichukuliwa na Mungu.

Yamkini kama unafikiria vizuri au unajua kiasi alichofanyiwa yule jamaa, ilikuwa ni hukumu ya kifo tosha, ispokuwa sisi tunaomini Mungu yupo, na yeye hufanya atakavyo, waliofanya kitendo hicho wanaamini kuwa Dr. alikuwa amekufa na wanashangaa kuona dr. yupo hai, waliotumwa pale hospitali ni kuhakiki hii ni kweli au ni propaganda. Mie naona kama WaTz, wa leo wapo makini lakini na zidi ingia shaka kwa wengine michango yao, mawazo yao, bado ipo nyuma kiwakati
 
Mungu alikua bado hajamuhitaji na anakusudio lake kumbakiza dunian lakini wale jamaa wali aim kuua kabisa makusudi ya Mungu tunae ili aje aeleze mauovu yote ya hawa jamaa
Just wait
 
waliomteka ulimboka hawakuwa na nia ya kumuua, kama wangekuwa na nia hiyo asingeachwa hai. kwani walikuwa na bunduki, pia wangeweza hata kumvunja shingo au hata kumnyonga akafa, kinachoonekana kwa wale wana intelijensia wataelewa, hakukua na nia ya kumuua, bali walikuwa na nia ya kumuadibisha tu kwa njia ya mateso alafu aachwe hai.

Kwa wale wenye akili watakubaliana na mimi kuwa, kiongozi wa mgomo kuuawa si rahisi sana kama wagomaji, kwasababu machafuko yanaweza kutokea mfano wananchi wangeandamana kupinga icho kitendo..hivyo hakukuwa na nia kabisa ya kumuua, kama nia hiyo ilikuwepo, hakika asingekutwa hai, angepiga tu bunduki hata palepale alipotekewa, angefuatwa nyumbani kwake akapigwa kama wale waliomfata Pro. Mwaikusa, angefanyiwa chochote na ingejulikana ni majambazi tu yamefanya hivyo....kama ulimboka ana akili, namshauri akipona aachane na mikumbo, atumie elimu yake ambayo kodi za wananchi watz masikini zilimsomesha ili wananchi hao wasife na pia ajenge maisha yake kabla hajazeeka. labda kama anataka kuwa mfia mgomo ndo aendelee kujilipua.

pamoja na kwamba ipo strong allengation kwamba serikali yaweza kuwa imehusika, cha ajabu ni kwamba ushahidi haupo. sasa kuituhuumu selikali si sahihi, labda kama serikali itakuwa inatuhumiwa kwa kushindwa kuwalinda raia wake ambapo hata hapo serikali inaonekana haijawa zembe......ulimboka ukipona, kama unanisikia, achana na mikumbo, tafuta maisha yako watoto wako waje waishi vizuri utakapozeeka au ukichukuliwa na Mungu.

Tunaomba ututhibitishie kama kweli ushahidi haupo mkuu
 
Madnes
 
Umedangaya!

Mimi ni mmoja ya walioongoza kumkata na kumhoji kwa njia ya mateso, na niliamua kwa agizo la bosi wangu kuwa tusimuue!

Lengo lilikuwa kujua kama mgomo unafadhiriwa na kundi la Lowasa au Chadema!

Hakuna kitengo cha AK katika nchi yetu,

Kikosi cha mwisho na maalumu cha mauaji ni LTK tu!

Labda kwa ufafanuzi tu ni kuwa LTK tumepewa jukumu la kunyamazizisha wanaharakati kwa vitisho kama tulivyomfanyia Ulimboka, lakini sio kuua!

Tulikuwa na uwezo wa kumuua Ulimboka hata akiwa kalala na mkewe kama ingelikuwa lazima kuumua kwa siri!

Mbinu za kuua tunazo nyingi sana tusingehangaika au kupoteza mda kwa ulimboka ambae hana mafunzo yoyote ya kijasusi!

Ulimboka kama atakuwa atakuwa kafa kwa mateso tuliyompa ila si kufuatwa RSA!

yaani mwisho wa siku shetani mwenyewe atakukana!
 
Sera kubwa ya Chadema uongo, majungu na fitina je ikithibitika kuwa serikali haihusiki na kisa hiki utasema nini? Dr. Ulimboka hakuwa nabii kama Yesu subiri uchunguzi ufanyike usitulee porojo

Chama
Gongo la mboto DSM
Wee, Amphibia umetokea wapi?
 
Aliye na hamu ya kupoteza umaarufu wake ndani ya jamii aendelee kuunga mkono migomo ya madaktari. Wagonjwa wanaokwenda kwenye hospitali zetu za rufaa huwa wanatoka mikoa na willaya zote nchini, hivyo usumbufu wanaoupata wagonjwa, wanafamilia na jamaa za wagonjwa zinaikumba mikoa na wilaya zote nchini. Atakaeibuka hero of the day ni yule atakaewashawishi madaktari warudi kazini waokoe wanaofia mivunguni bila matibabu huku akitumia njia mbadala za kutafuta maslahi bora ya madaktari bila kulazimika kugoma. Tunapomsikitikia dk wetu ulimboka tusisahau pia kusikitikia hatima za wagonjwa waliokosa matibabu (trike a balance)
 
Umedangaya!

Mimi ni mmoja ya walioongoza kumkata na kumhoji kwa njia ya mateso, na niliamua kwa agizo la bosi wangu kuwa tusimuue!

Lengo lilikuwa kujua kama mgomo unafadhiriwa na kundi la Lowasa au Chadema!

Hakuna kitengo cha AK katika nchi yetu,

Kikosi cha mwisho na maalumu cha mauaji ni LTK tu!

Labda kwa ufafanuzi tu ni kuwa LTK tumepewa jukumu la kunyamazizisha wanaharakati kwa vitisho kama tulivyomfanyia Ulimboka, lakini sio kuua!

Tulikuwa na uwezo wa kumuua Ulimboka hata akiwa kalala na mkewe kama ingelikuwa lazima kuumua kwa siri!

Mbinu za kuua tunazo nyingi sana tusingehangaika au kupoteza mda kwa ulimboka ambae hana mafunzo yoyote ya kijasusi!

Ulimboka kama atakuwa atakuwa kafa kwa mateso tuliyompa ila si kufuatwa RSA!

leo nimeacha rasmi kukuamini.
 
Halafu hizi taarifa za kwenye magazeti tena za kiuchunguzi zinazomhusu Dk Ulimboka zinatoka wapi?
 
Umedangaya!
Mimi ni mmoja ya walioongoza kumkata na kumhoji kwa njia ya mateso, na niliamua kwa agizo la bosi wangu kuwa tusimuue!
Lengo lilikuwa kujua kama mgomo unafadhiriwa na kundi la Lowasa au Chadema!
Hakuna kitengo cha AK katika nchi yetu,
Kikosi cha mwisho na maalumu cha mauaji ni LTK tu!
Labda kwa ufafanuzi tu ni kuwa LTK tumepewa jukumu la kunyamazizisha wanaharakati kwa vitisho kama tulivyomfanyia Ulimboka, lakini sio kuua!

Tulikuwa na uwezo wa kumuua Ulimboka hata akiwa kalala na mkewe kama ingelikuwa lazima kuumua kwa siri!
Mbinu za kuua tunazo nyingi sana tusingehangaika au kupoteza mda kwa ulimboka ambae hana mafunzo yoyote ya kijasusi!
Ulimboka kama atakuwa atakuwa kafa kwa mateso tuliyompa ila si kufuatwa RSA!

Jason bourne ni kweli kabisa huyu jamaa hana sifa za kufuatwa ili kuuawa, na si tishio kwa Taifa hili nawaeleza na waTZ wote mgomo ulikuwa ni wa kitoto wakati wengine wanaendelea na kazi wao wakiwatisha na mtindo huu waliuanza katika (batch) intake yao maana walipowagomea viongozi wao pale Chuoni Muhimbili basi wakataka waendelee mpaka Tanzania nzima.
Kwa kifupi mgomo hakuna na Madaktari wenye akili wataendelea kwani somo la uzalendo hawakulipitia JKT
Na anayejidanganya akuuliz
e (kama kweli ulikuwepo wakati mnamtesa mbona mlimvua suruali ya nini sasa? mbona mlimng'a meno na kucha) hivi kweli mateso yote hajatoa siri hata moja.
Mimi nasema ni uongo kabisa asingeachiwa, Dr Ulli keshawageuka wenzake wote na wao wamerudi kazini tuliobaki tusijisumbue tusubiri mgomo mwingine ambao lazima kuna Chama kiko nyuma yake kinataka Nchi isitawalike
 
yaani mwisho wa siku shetani mwenyewe atakukana!
Achana naye mjinga mjinga tu huyo hakuna lolote alijuwalo, amekalilishwa tu movie za James Bond na filamu CIA na FBI + KGB basi kichwa kimejaa maji anadhani hili ni jukwaa la wapumbavu wenzake.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom