Waliotengeneza Album ya R.Muhando wametumia technlojia gani? huwezi kuiplay katika computer

qq.com

JF-Expert Member
Jan 9, 2012
367
123
Hii album mpya ya UTAMU WA YESU nimeiingiza katika laptop ili niweze kuicopy lakini haionekani kabisa wakati ninayo DVD room.nimemuuliza na mwenzangu akasema hivyo.nafikiri wamefanya hivyo ili kuepuka watu kuichakachua.

hoja ya msingi hapa ni je wametumia technlojia ipi?
 
format za audio zipo nyingi kuna aac mp3 wav amr sasa we cha msingi rip then tuambie ni format gani player itapatikana tu
 
Rip cd we kiazi windws media player inayo pia jet audio

nashukuru kwa blue hapo.

hapa tunafundishana jambo lolote,mimi nina ujuzi kiasi kuhusu haya mambo lakini si vibaya kukuliza nikiwama sehemu.

hii ni video(dvd) siyo audio kama uanvyodhani. kama unataka kuamini nunnua hiyo dvd mpya sh 5000 tu kisha ingiza katika computer yoyote haitasoma,huo ndiyo ukweli
 
ni kweli hii album mpya ya damu ya yesu ni kazi kweli kweli kuicopy kwa kutumia computer kwa kuwa haichezi katika dvd room.

fanya hivi

tafuta dvd deck ambazo zina option ya kurekodi pia,ikopy kwa kutumia dvd deck kisha ingiza katika format za kawaida hapo ndipo unapoweza kuicheza kwenye computer.

hii njia waliyotumia ni kiboko kwa wanaoiba kazi za wasanii akiwemo wewe.
mkome
 
Mkubwa kuna software inaitwa COPY WIZARD fanya kuisearch google au kutumia torrents websites mfano www.torrentz.eu' hamna kitu inashindwa kucopy.
 
Haa hiyo kitu kidogo sana dafuta dvd ripper za xillisoft unafyonza tu!!

Tatzo la sisi wabongo ni kutumia akili za 'notice' za darasani kujibu hoja

unaambia hiyo DVD haisomeki kabisa katika computer sasa utacopy nini? ni kuwa ukiiingiza jhiyo DVD inaonesha kutokuwepo dvd katika computer! sasa hayo ya ni kitu kidogo unatoa wapi? tafuta kwanza hiyo dvd fanya unavyojua kwa kutumia 'notice' zako kisha rudi hapa na hoja zako
 
Kama dvd haionekani basi rom yake itakua mbovu tu,acheni ubishi,kama haionekani kwenye computer basi hata kwenye deki ya dvd haitoonekana,msiwe wavivu wa kufikiri dvd rom iliyokuwa kwenye cmp ni same na iliyokuwa kwenye dvd deki,DVD rom zenu mbovu,watu wanarip DVD za America ndio zitakua hizo za wala vumbi?
 
wewe ni mbishi,hivi unayo hiyo DVD,ebu itafute kwanza au ni PM nikutumie japo elfu 500 uinunue kisha utumie hiyo mbinu ya kimarekani.
 
wewe ni mbishi,hivi unayo hiyo DVD,ebu itafute kwanza au ni PM nikutumie japo elfu 500 uinunue kisha utumie hiyo mbinu ya kimarekani.

RM mbona unakimbilia kwenye conclusion? Hoja hapa kwamba dvd rom ya cmpt na dvd ya deki za nyumban hazina tofauti kabisa,sasa nauliza kama hazionekani ktk cmp basi hata za home hazitoonekana,nenda kariakoo kwa waindi uone wanavyosibanjua!
 
Mleta mada ambaye unayo hiyo cd, ebu ijaribu kwenye dvd player (deck) halafu ulete feedback.
 
Duniani mambo yanachange sometimes sio notes za darasani na ufundi wa kujua kuformat compyuta na degree za IT za kibongo mtukane watu, toeni jibu kwa hoja sio kwa kelele,

Na mimi natafuta cd fake ya ps3 aliyenayo anitafute nanunua kwa lak 1 just pm for more details, ndo mtajua watu wakiamua wanaweza... Sony wamefanya unyama sijawai kuona kwenye ps3, hakuna cd za kariakoo za elfu 5 au 10, ngoma inasoma original tu
 
What you are doing is an offence punishable by Sections 9, 40, 41, 42, and 43 of the Copyright and Neighbouring
Act, 1999
. All others who advice you about simple way of breaking the law can be termed as "accessories after/before the fact". Please JF members, you are well respected as great thinkers, discourage pirates of authorship rights. Protect intellect works as to encourage innovations among our society.
 
Mleta mada ambaye unayo hiyo cd, ebu ijaribu kwenye dvd player (deck) halafu ulete feedback.

hii kitu inacheza kwenye dvd player(deck) lakini kwenye computer inagoma
 
What you are doing is an offence punishable by Sections 9, 40, 41, 42, and 43 of the Copyright and Neighbouring
Act, 1999
. All others who advice you about simple way of breaking the law can be termed as "accessories after/before the fact". Please JF members, you are well respected as great thinkers, discourage pirates of authorship rights. Protect intellect works as to encourage innovations among our society.

Wenyewe waliyoiweka iyo sheria wamecopy
 
wakubwa hapa tunajadili,technolojia ipi inatumika basi!issue za kwamba tupo kinyume na sheria ni mambo mengine
 
Mamaaaa!! Weee! Cosososota wakwapi! Wamelala eeeh ! Kumbe!
ndo maana nilijarib nikajua li-computer langu bovu sasa kwa maelezo yenu kumbe bado mpya mang'anyu kabisa!!
 
Back
Top Bottom