Waliosoma sana vs wasiosoma

Tabutupu

JF-Expert Member
Nov 26, 2010
13,108
18,326
Wanawake waliosoma wengi hushindwa kuolewa na hawajui mapenzi ukilinganisha na wanawake ambao hawajasoma sana (Uwongo).

(Ukweli) Utafiti wa karibuni unaonesha kwamba wanawake waliosoma sasa wana uwezekano mkubwa wa kuolewa ukilinganisha na wale ambao hawajasoma. Na pia wanauwezo wa kuihimili mishindo ya ndoa. Si hivyo tuu ila wanajua maana ya kupenda waume zao. Wanayajua maisha bora, uchumi wa familia na zaidi sana wanauwezo wa kulea familia zao vizuri.
 
ishu siyo kuolewa, wangapi wanaolewa na nan anawaoa?
 
Wanawake waliosoma wengi hushindwa kuolewa na hawajui mapenzi ukilinganisha na wanawake ambao hawajasoma sana (Uwongo).

(Ukweli) Utafiti wa karibuni unaonesha kwamba wanawake waliosoma sasa wana uwezekano mkubwa wa kuolewa ukilinganisha na wale ambao hawajasoma. Na pia wanauwezo wa kuihimili mishindo ya ndoa. Si hivyo tuu ila wanajua maana ya kupenda waume zao. Wanayajua maisha bora, uchumi wa familia na zaidi sana wanauwezo wa kulea familia zao vizuri.
Uko sahihi but inapendeza zaidi km mtakuwa na uwiano mzuri wa elimu na huyo mume ili nafasi ya mume katika familia ionekane!kwan mara nyingi ktk baadhi ya ndoa mwanaume anapokuwa na elimu ndogo kuliko mke inatokeaga mke ndio anakuwa na last say na nafasi ya mme inakuwa ndogo ktk maamuzi yoyote ndani ya nyumba!
 
Wanawake waliosoma wengi hushindwa kuolewa na hawajui mapenzi ukilinganisha na wanawake ambao hawajasoma sana (Uwongo).

(Ukweli) Utafiti wa karibuni unaonesha kwamba wanawake waliosoma sasa wana uwezekano mkubwa wa kuolewa ukilinganisha na wale ambao hawajasoma. Na pia wanauwezo wa kuihimili mishindo ya ndoa. Si hivyo tuu ila wanajua maana ya kupenda waume zao. Wanayajua maisha bora, uchumi wa familia na zaidi sana wanauwezo wa kulea familia zao vizuri.

Kuna mtu si mema wa JF anasema nikujibu hivi wanawake wanaoweza mambo ya ndoa kama
ulivyoeleza ni wale waliopita unyagoni. Ni mtazamo wake lakini!
 
Tukiwa objective nadhani ni sahihi sababu
1. Access to a wide range of sources: mwanamke alie soma ana uwezo wa kufaidi experience ya wake wengi zaidi kuliko yule ambae hajasoma, kwa kupitia mtandao wa internet, vitabu na kadhalika, yule ambae hajasoma anajifunza kutoka kwa familia yake, marafiki na somo ambao hata yule msomi anao pia. msomi anakua na ujanja, ubunifu fulani ambao hautoi only in her culture but also in cultures on the other side of the globe, kama anaona inaweza kumsaidia katika maisha.
2. Individuality, personality: Jambo lingine ni kwamba yule msomi anakua na maisha yake mwenyewe (individual) na maisha ya familia. ila yule ambae hajasoma anaona maisha ni mume na watoto tu, hivo anaweza kumboa mume wake kwa kumnyima nafasi ya ku-express individuality yake. Ni kitu anashindwa kuelewa kabisa, sababu hakuna in her background.
 
'... wana uwezo wa kulea familia zao vizuri'
Asante kwa kunifumbua macho! Nilikuwa nadhani kuwa enzi za mababu wanawake walilea familia zao vizuri zaidi ya sasa ambapo ma hg wanalea zaidi ya wazazi!!
 
  • Thanks
Reactions: mka
Naweza kupigana na haya mawazo kwa mifano niliopata kuiona..

Wazee wengi huko vijijini wamewaoa wanawake ambao hawajasoma lakini ndio wanatoa familia bora..

Maisha ya hapa mjini naona familia nyingi za wasomi zitoa watoto wenye tabia mbaya hawana heshima..

Mimi naona yote haya yanatokana malezi uliolelewa na wazazi wako ndio yanakupa msingi wa maisha
 
Kabla sijaenda kufanya utafiti wangu ningependa nijua uwiano wa wanaume na wanawake.
 
Tabia haina elimu bana!

Kuna mdada namjua ana Master tena inahusiana na mambo ya kusocialize lakini mama ashaachika mara 4, mbili kafumaniwa. Nyambaaaf zake!
 
  • Thanks
Reactions: mka
na wewe huku omba?????
Mkuu mama alikuwa na tabia mbaya, yaani ukilembea neno kama sio type yake basi anauza CD kwa waifu, hili jimama yaani lina kila tabia mbovu, kuna siku nililitania tu , umependezaa! liliangusha msala ikabidi jibaba niombe yaishe tu lol
 
Back
Top Bottom