Waliosoma na wanaosoma ruaha university

ICT pale kuna ticha mmoja hivi mlemavu anaitwa Kitinya anawazinguaga sana jamaa aisee, watu walipanga kumroga sijui iliishiaga wapi

Hahahahahahaa mzee mtata yule alikuaga anapenda kusema "wew ka umefel subir supp me sio babaako"
 
Mmmhhh!!!!!!! kuna mzee anaitwa Kalalambe wa Literature cjui watakuwa wameishia wapi coz Course yake walisupp 78 wamecarry 74
 
MTI MtuJe RUCO imeshapewa hadhi ya chuo kikuu?Sitomsahau Prof. Komba. Alikuwa akifundisha kwa kuchora vikatuni, na hujui anafundisha nini, ukija kujua, anakaribia kumaliza Course Outline. Alikuwa anasapisha ile mbaya!
 
Last edited by a moderator:
Mnamjua mwalimu mmoja anaitwa MAPUGA au MASIKIO POPO, Mshenzi sana yule jamaa, sijui ata RUCO alipataje kazi, ni mnoko kuanzia akiwa mwalimu wa secondary mpaka chuo
 
MTI MtuJe RUCO imeshapewa hadhi ya chuo kikuu?Sitomsahau Prof. Komba. Alikuwa akifundisha kwa kuchora vikatuni, na hujui anafundisha nini, ukija kujua, anakaribia kumaliza Course Outline. Alikuwa anasapisha ile mbaya!

Kimbori, RUAHA NI CHUA MIAKA MINGI MR! KOMBA CJAWAHI MUELEWA HATA CKU MOJA
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom