aina mbaya man, tupo wadau, mi nilikuwepo pale tangia mwaka 2000
sure mkuu, na mitaa ya kijiweni sana tu, hivi shoo bado yupo?
aaah wapi, wewe utakuwa mtoto wa umbwe wewe. Tulikuwa tunawaonea sana nyie
mlikuwa wezi sana nyie mlikuwa mnatuuzia viti vya shule kutoka vijiji vya jirani
zoez la kuogeshana bado lipoo mkuu...hua ni burudani sanaTupo hapa mkuu ..nilipita pale A level 2010/12 chini ya master wandiba na baadae mr sanga ..
Nakumbuka kwenda komboo kuuza sura na kula kitimoto..mama mchafuuu baadae akaja mama msafii..kantini ya mr bini akna mama adamu ticha kimata.. daah naukumbuka ule mtiti wa siku ya nyama au wali tulikua tunatoka class mapema kupanga foleni..siku ya jpili kulikua na mkate mnagaiana wanne wanne ukizubaa wenzako wanasepa na mkate..
Pia naikumbuka ile tabia ya kutupana mtaroni tulikua tunaita kuogesha....daah ile shule sitoisahau aisee ilikua haishi vitu
mkuu unanikumbusha mbali watoto wa day big wakina germanus mosses koda. raina mmasai na bwawa letu la vyura. na yale ticha wetu wz physics anayetoa notes kichwaniDaha lyamungo shule yetuu,mchepuo wa kilimoo,pamoja na fani nyinginee......kwa ufupi nimeangalia picha hz machozi yameni bubujika,2001@2004, tukutane hapa kwanguvu tufanye k2.
kitu cha chengamkuu unanikumbusha mbali watoto wa day big wakina germanus mosses koda. raina mmasai na bwawa letu la vyura. na yale ticha wetu wz physics anayetoa notes kichwani
Foleni ilikua shda ile mnaanza kula saa saba -nane mchana halafu foleni ya msosi wa usiku inakukuta tena hata hujachukua msosi wa mchana siku ya disco pale social hall hapatoshiikitu cha chenga
Sisi ndo tulioanzisha kula kwenye mapoti maana kipindi kile foleni ya msosi ilikuwa mpk kwenye banda la kuni
mkate?? miaka yote lyamungo hatukuwahi kula mikate hata siku 1, ni uji tu na kipindi chetu kulikuwa na homa ya bonde la ufa hata nyama tulikuwa tunaisikia kwenye bomba tu.Tupo hapa mkuu ..nilipita pale A level 2010/12 chini ya master wandiba na baadae mr sanga ..
Nakumbuka kwenda komboo kuuza sura na kula kitimoto..mama mchafuuu baadae akaja mama msafii..kantini ya mr bini akna mama adamu ticha kimata.. daah naukumbuka ule mtiti wa siku ya nyama au wali tulikua tunatoka class mapema kupanga foleni..siku ya jpili kulikua na mkate mnagaiana wanne wanne ukizubaa wenzako wanasepa na mkate..
Pia naikumbuka ile tabia ya kutupana mtaroni tulikua tunaita kuogesha....daah ile shule sitoisahau aisee ilikua haishi vitu
Mkuu mbona unachafua hali ya hewa kwenye thread yetu, huku hakukuhusu mbona unatokwa povuMnalaana wote mliosoma lyamungo mmeuwa wanafunzi wenzenu sana sijui mlikuwa hamjakuwa
Nakumbuka form five wengi sana waliogeshwa na form six pale saa sita usiku wakati wa kukatwa mikiahivi ule mfereji bado upo
unaokwenda kwenye mashamba ya kahawa. ulikuwa unatusaidia sisi tulio kuwa tunapiga passport asubuhi tulikuwa tunajipanga kunawa
waliwahi kuleta mikate,ilikuwa jmosi na jpili tu,.baade shule ilikuwa na madeni makubwa na watu wa tenda wakasitisha,nazani ilikuwa mwaka 2012.,mkate?? miaka yote lyamungo hatukuwahi kula mikate hata siku 1, ni uji tu na kipindi chetu kulikuwa na homa ya bonde la ufa hata nyama tulikuwa tunaisikia kwenye bomba tu.
Foleni ilikua shda ile mnaanza kula saa saba -nane mchana halafu foleni ya msosi wa usiku inakukuta tena hata hujachukua msosi wa mchana siku ya disco pale social hall hapatoshii