Waliosoma lyamungo

tupooooooooo tumejaaaa sema mimi nimesoma o level mpaka 2007. Baada ya form four yetu ndo wakahamishwa wale wengine.

Hahaha umenikumbusha mbali we tulimaliza wote mkuu nadhani unakumbuka ubabe wa Isaya.. alivyokuwa anatupeleka speed bila ya kumsahau Manase... Hahaaa mwendo wa Fongo
 
Wengi sana kaka.. enzi sisi tunasoma Lyamungo kulikuwa na basi moja tu from town, linaitwa MAKERESHO nyuma limeandikwa "Lyamungo Huyoooo"

Wazee wa Ngazi Mbili
Mkuu umenikumbusha mbali.
 
Subirini kwanza tukijua mazuri ya tcu tutakutana ila tukikuta NOT FOUND!!!! SAHAUU
 
wakuuu mimi nimehitimu hapo lyamungo 2014- advanced level.....mkuu wangu ni Sanga na mpaka sasa yeye ndio mkuu wa shule. Kwa kiasi kikubwa Mr Sanga kafanikiwa kuibadilisha ile shule, lyamungo ya sasa ni kama seminary.....
 
1473681205533.png
 
Mimi nilikuwa pale shabani Robert kwa wajanja, nakumbuka ilivyo kuwa inapangwa ratiba ya kudeki corido ilikuwa balaa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom