Waliosoma Jamhuri High School Dodoma

Malolella

JF-Expert Member
Feb 3, 2012
366
111
Nimeikumbuka shule yangu Jamhuri Dodoma miaka ya 2004-2006 ilikuwa inatisha balaa! 2likuwa 2kigongewa lecture wengine wapo madirishani kama 2po chuo vile. Maticha waliobobea kama mzazi aka Beda, Mwanansao, Mlugu na wengineo walikuwa wanatisha sana. Hebu 2kumbushane machache kwa waliopita hujam!
 
Back
Top Bottom