Waliosoma bournemouth university, kutoka mwaka 2003 mpaka 2006 mko wapi?

Malyenge

JF-Expert Member
Jan 16, 2012
6,658
3,646
Wakuu napenda kuwatafuta Watanzania waliosoma Bournemouth University cha Uingereza. Kama kuna yeyote aliyesoma huko tuwasiliane jamani. Tumesota sana na baridi la Uingereza pamoja na ugumu wa maisha ya Uingereza. Nakumbuka sana msoto huo nikaona niwatafute na wenzangu ingawa labda wenzangu mlisoma kwa udhamini wa serikali, ndugu ama watu binafsi. Mimi mwenzenu nilijisomesha mwenyewe kwa kufanya kazi (za aina ile ya watu wa daraja la tatu).
Nimefanikiwa (kupata elimu na si kimaisha) na nipo hapa Bongo.
Mnapakumbuka maeneo ya Lansdown centrer, Chamister, Winton, Poole, Bournemouth Hospital, Christ church Hospital, Bournemouth square, nk? We acha tu hakika nimekumbuka mbali sana.
Mwenye kutaka mawasiliano na mimi atumie namba 0786814727
 
mkuu hongera kwa kumaliza,life lake uingereza sio mchezo....sijui uliwezaje kusave hela ya rent,msosi,bus pass na fees juu...mie imenishinda,lol
 
Sorry wakuu namba ya simu niliikosea ni hii: 0786814724
 
Nam nawatafuta tuliosoma PYONGYANG UNIVERSITY hasa wale wa bachelor of NUCLEAR SCIENCE kule North Korea 1985-1990 tukutane hapa
 
Back
Top Bottom