Waliopata mikopo HESLB 2014/15

Magazetini

JF-Expert Member
Aug 16, 2014
588
1,698
Habari,

Kutokana na bodi ya mikopo kutoa majina kama walivyofanya tume ya vyuo vikuu hivyo kulazimu wahusika kuyasaka. Nitayaweka hapa na kujitahidi kuyaongeza kadiri yanavyoongezeka.

SUA 2014

MUCE 2014

MZUMBE 2014

View attachment MUM 2014.pdf

View attachment SEKOMU 2014.pdf

View attachment UOB 2014-15 EDITED.pdf

UDSM 2014

SJUIT 2014

Kwa yeyote anaetaka kuangalia jina lake, afuate link hapa chini kisha ataingiza taarifa zake. System itamwambia kama amepata na kwa kiasi gani pia kama amekosa itamwambia.

Pliiiz mwenye kujua kama walochaguliwa chuo cha IAE majina ya mkopo yametoka anijuze.plis nisaideni mana wametoa selection tu
 
Hii system ya kila chuo kutoa list ya wanafunzi waliobahatika kupata mkopo wanapojisikia ndio hivi hivi ilikua na mwaka jana au mwaka huu tu?
Wakuu tupatieni ufumbuzi juu ya hili.
 
Hii system ya kila chuo kutoa list ya wanafunzi waliobahatika kupata mkopo wanapojisikia ndio hivi hivi ilikua na mwaka jana au mwaka huu tu?
Wakuu tupatieni ufumbuzi juu ya hili.

mkuu hii ni mwaka huu aisee ..c mwaka jana ilikuwa raha 2 , unaingiza jina na namba kwenyw link mambo yanakuja
 
Daah..!
Kwaiyo mwaka huu hawa jamaa watendaji wa TCU na Heslb wameamua kuleta aina mpya ili raia wahangaike sio..
 
Mitindo inabadilika kulingana na mabadiliko ya isayans an teknoloj
 
Kwaiyo ndugu unataka kusema technolojia ya mwaka Huu ndio hyo kila chuo kibandike chuoni kwake..? Ebu cheki mfano Hui, kuna jamaa anaishi Arusha-Karatu kule afu chuo amepangiwa SAUT branch ya Mbeya kule. Sasa imagine mtu huyu atajuaje kama jina lake lipo au halipo, na hana ndugu huko wala rafiki. Hii si shida jaman
 
sindio maana kila chuo kina website yake info zote unazipata UMo.. ukijitetea ohh sijui hana simu/pc si cafe zipo buku tu... leta hoja nyingine.
 
sindio maana kila chuo kina website yake info zote unazipata UMo.. ukijitetea ohh sijui hana simu/pc si cafe zipo buku tu... leta hoja nyingine.[/QUOT
Nadhan hujanielewa Mkuu, Mimi ninacholalamika ni kwamba , "kwanini wasiweke hizo list kwenye website zao za vyuo na badala yake eti wanabandika chuoni afu kwenye mtandao wao hawaweki kitu. Huoni kama ni usumbufu huo..?
Mfano, (Tetesi) Chuo cha IFM nao wametoa list ya waliobahatika kupata mkopo lakn nimesikia kutoka kwa baadhi ya raia kua majina hayo yatabandikwa chuoni pale. Cha ajabu hakuna chochote kwenye site yao. So what do you think about that now,.
 
Yashabandikwaa Na Kuna Watu Wametoka huko
 
kwann apa chuon kwetu Tia ata Ifm na Mzumbe hakuna diploma aliepata mkopo na ktk emails zetu bado hawajatupa taarifa zozote kama wafanyavyo miaka yote, au taratibu ni kama za TCU kwamba fm6 kwanza, msaada
 
Back
Top Bottom