Walioomba mafunzo ya ualimu: Tazama jina lako hapa!

Kuna mgomo huko sio mahali pa kukimbilia. Ila inaonekana watu hatujifunzi kutokana na mazingira. Elimu imekuwa na mgogoro tangu kuingia kwa mwinyi, sasa unayekimbilia ualimu unajiandaa kugoma au huna solution nyingine?

Mi nadhani tuwasisitizie vijana wetu kuwa ualimu kwa sasa sio issue, ili watu waanze kuichukia fani hii. Ni kusoma kwa bidiii kutakakosaidia mtu apanue wigo wa ajira. Lakini ukisoma kizembe, mtaokeo yakawa mabaya, means umesaini maisha kuwa mgomaji na mtu wa kudai maslahi yale yale kila mwaka
 
Mbona inasoma hivi?

jtablesession::Store Failed
DB function failed with error number 145
Table './moet_moet/web2_session' is marked as crashed and should be repaired SQL=INSERT INTO `web2_session` ( `session_id`,`time`,`username`,`gid`,`guest`,`client_id` ) VALUES ( '9f001ce4df7d9ba89226bcd59fa32cc1','1343785126','','0','1','0' )
 
ni kweli sasa hivi hayafunguki,kama vipi niambie jina unalotaka nikutafutie sasa hivi,mimi niliyadownload tangu mchana.
 
Mimi naomba nicheckie jina la Sisto John Mkakilwa,nitashukuru sana best!

Vipi na wewe kaka ni grade A? Kwenye diploma nimeona jina "Sisto Lwagila" hilo uliloniambia sijaliona kwenye list hii. Kama ni grade naomba ungoje hadi tovuti ya wizara ya elimu ikubali kufunguka ili niyadownload.
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom