Walioomba kusoma elimu ya juu Tanzania kupitia TCU(undergraduates 2016)

Salamu kwa Wote;
Kwa wale form six na Diploma holders mliomba au mnaotarajia kuomba nafasi TCU za kusoma bachelor tukutane hapa tupeane updates na maelekezo zaidi.....
Let's Learn and be informed from others.... Tuma namba yako via 0718 585 555 uwekwe kwa group whatsapp na wenzio wan so sub or is nafasi na mkopo..... Tutatue changamoto zetu bila kuilaumu serikali
TCU wananiua kwa pressure
 
[HASHTAG]#KAMA[/HASHTAG] SIJAKUADD BADO NISAMEHE NILIKUWA BUSY SANAAA....ILA LEO NIMEJITAHIDI KUADD WENGI..... NITUMIE NAMBA YAKO WHATSAPP INBOX KWANGU NIKUWEKE SASA HIVI..... TAFADHALI USITUME NAMBA HAPA MAANA SITOJISHUGULISHA NAYO....TUMA WHATSAPP... USIPIGE AU KUTUMA TEXT YA KAWAIDA....KARIBUNI
 
NATUMAI KILA ALIETUMA NAMBA YAKE INAYOTUMIA WHATSAPP AMEUNGANISHWA.....KAMA KUNA AMBAE NIMEMSAHAU ANITUMIE TENA NAMBA NA JINA WHATSAPP...... NAFASI BADO ZIPO NA VIJANA WANAENDELEA KUPASHANA HABARI NA KUELEWESHANA..... KARIBUNI
0656999605
 
Back
Top Bottom