Walioomba kazi Utumishi wanaitwa kwenye usaili!

KIDUNDULIMA

JF-Expert Member
Aug 18, 2010
966
537
Wana JF kama una ndugu au jamaa aliyekuwa ameomba kazi utumishi, wametoa maelfu ya majina na kutangazwa kwenye gazeti la daily news la leo Ahamisi (12/04/2012). Hivyo wajulisheni wapendwa wenu ili wajue ni tarehe na mahali gani usahili utafanyika haraka iwezekanavyo maana.

Nawasilisha.
 
Ahsante sana mdau uliepost hii kitu,nimeitwa kwenye interview,naombeni mniombee wana JF..
 
naomba kujuzwa ndugu zanguni,
kuna zile nafasi zilitoka pia utumishi za maaafisa ushirika(cooperative officers)nafasi za kazi zilikua 20 vipi walishatoa shortlist?
Mana niliomba mda mrefu kidogo tokea mwezi wa pili mwishon
mwenye taarifa tafadhali naomba msaada wa kujuzwa ndugu zanguni
 
Endelea kupitia kwenye website ya utumishi kila mara unaweza kubaatisha tangazo la kuitwa.
 
Wana JF kama una ndugu au jamaa aliyekuwa ameomba kazi utumishi, wametoa maelfu ya majina na kutangazwa kwenye gazeti la daily news la leo Ahamisi (12/04/2012). Hivyo wajulisheni wapendwa wenu ili wajue ni tarehe na mahali gani usahili utafanyika haraka iwezekanavyo maana.

Nawasilisha.

Mkuu ubarikiwe kwa taarifa japokuwa nimechelewa kuliona tangazo ila limenisaidia kuona jina langu lipo ktk nafasi niliyoomba. Hapa inakuwa vipi ktk suala la vyeti maana watu wengi waliomaomaliza siku hizi hawana vyeti kutokana na deni la ada. Na ktk vitu ambavyo msailiwa anatakiwa aende navyo siku ya usaili ni vyeti original, si kuna hati hati hapa tukajikuta tumefika wawili tu?
 
Back
Top Bottom