Walioomba kazi TAMESA

Jman

Member
Jan 19, 2015
39
2
Habari wa jf utumishi wametoa majina ya interview, nami pia ni mojawapo . Kwa yule ambae amewahi kufanya inteview ya technician mechanical ya mahojiano TEMESA Anitoe tongo tongo maswali yao yakoje. Cheki majina www.ajira.go.tz
 
Back
Top Bottom