Walioomba kazi PSPF majina yametoka

hahaha wabongo bwana, wakitoa shirt list oooh wamependelea, wakiwaita wotee aahhh ma HR wavivu...! utakachoweza kuandika ni kile kile mkiitwa mia au mkiitwa elfu hakibadiliki nyie nendeni tu kwenye interview kama unajiamini
 
Kama umeitwa kwenye interview na unajiamini una uwezo nenda kashindane na wenzako,,, acha kuponda bila sababu za msingi..

Ngoja niwafundishe kitu wadogo zangu, Nothing come easy in a modern world,,,

Marekani kuna vyuo vikuu 4000 vinavyoshiriki mashindano ya vyuo vikuu maarufu kama NCCA na katika hivyo vyuo kila chuo kina Team ya basketball yenye Watu 15,,, sasa zidisha 15x4000 uone number of basketball players wanaokuwa on market per year... Na hao wote main goal yao ni kucheza NBA na wanashindana kweli kweli kugombania nafasi 60 tu zinazotolewa kwenye NBA draft in a year,, na hizo 60 tu zinaruhusu mpaka players outside america lakini madogo hawaogopi wala kukata tamaaa.. Na kuna wabishi wanakomaa Hadi wanapata First pick in the NBA draft...

Sasa nyinyi 1400 tu mnaogopa kwa chance zote hizo..

Dunia ya sasa you have to compete to get something
 
leo wametoa majina ya walioitwa knye interview post za operation (wako 1400...) na drivers knye daily news ya leo

nawatakia kila la kheri na maandalizi mema
Acha bangi, labda wewe una Daily News special kwa ajili yako. Au unaota?
 
deadline ni tarehe 22 jamani...sao watatoaje majina hata deadline ya implication bado....
 
deadline ni tarehe 22 jamani...sao watatoaje majina hata deadline ya implication bado....

kwa hiyo mkiona thread mnasoma tu bila kuangalia ilirushwa lini? Kazi kweli kweli

acha bangi, labda wewe una daily news special kwa ajili yako. Au unaota?

sasa nani anota??? Inasikitisha kwa kuwa wewe ndio hukusoma tarehe ya hii thread, inaonyesha kuwa unakimbilia mambo bila kuangalia
 
Back
Top Bottom