Walionasana kimeeleweka

kwa mfano

ingekuwa ni wewe umeona kabisa kitu kimeng'ang'ania kwa siku 3(bila mpira) ungefanyaje?


Kuna watu bwana wana roho za kusamehe ..ingekuwa mie ningeangalia hili swala kwa upya ..kama.... me still love ma husband too much ninaweza kufikilia kufanya maamuzi magumu
Kama ndoa ndo ilikuwa ya kuunga unga na gundi ndo basi tena....no love no trust ...
 
kwa mfano

ingekuwa ni wewe umeona kabisa kitu kimeng'ang'ania kwa siku 3(bila mpira) ungefanyaje?

Umakondeni kati ya mambo yanayofanya wanaume wawaache wake zao,la ugoni linakuja baadaye!
Mara nyingi huwatoza wagoni wao kitita cha pesa,na kisha huendelea na wake zao!

Nimewahi kuona jamaa akitozwa 80,000/- kwa kumuita mke wa mtu kupiga naye stori usiku. Kwa kuwa alituma ujumbe mfupi,mwanamke naye hakuwepo,mwenye kusoma akaamua kujibu poa. Kisha bila kumwambia mkewe akachukua majamaa wengine wawili hadi kichochoro husika... na kumkuta jamaa anasubiria mke wa mtu..
Yaani baada ya sakata hilo,ndoa ikaendelea..

Mwingine,alimtoza rafiki yake Milioni 4! Lakini hiyo mkewe alipanga makusudi baada ya kuchoshwa na shemeji yake.. Wakafumwa,jamaa anazoanazo,akatoa advance 2M na kesho yake akamalizia.

Mwingine naye alimkuta gesti kabisa. Akamrudia.
 
Kama hiki kisa ni kweli, kwanini watu wanakataa kuwa uchawi na wachawi wapo?
 
Huyu anayesema wake za watu watamu, afunguliwe mashtaka na wasiwasi hata mke wangu ndo huyu anamnyemelea. Ukimega vya watu siku nying utaliwa tigo.
 
Fidel80 unatuyeyusha na habari yako,weka picha na hiyo habari hata shigongo hajaipata sio ya kweli kabisa!!
 
mi hiyo ni opportunity nadhani hichoni kipato kizuri sana amwambie mkewe atembee na wengine awanasishe hadi ifike angalau pesa za kununua mjengo na gari
 
"Ila wake za watu watamu jamani", mapenzi ya haraka haraka haya wataalamu wanasema matamu sana
Mnakutana kama kuku cha cha cha umemaliza unasikilizie tena chachacha

Binafsi sielewi ni kwanini mke wa mtu anakuwa mtamu sana hata kama anazidiwa vigezo vyote na mkeo...... ngoja nifanye utafiti wa kisaikolojia katika eneo hili
 
ni balaaaaa.....uzinzi wa wanandoa umezd jaman...her wapunguzwe kwa stail km hii
 
....dah, imagine wanabanduka lakini 'kabastola' ka jamaa kanabakia kamenasa kwenye
'pochi manyoya' Ya mke mpaka jamaa amalizie deni...sayansi ya mwafrika nuksi.
 
Asante kwa taarifa.....
Eish! Ila hapo sijui kama kutakuwa na ndoa itakayoendelea. kama ni mimi, hata mume akiniambia bado ananipenda nirudi kwake ila niwe mwaminifu sikubali. yaani nikitoka hospitali tu napotelea kusikojulikana, hata kama nafanya kazi basi................
 
Back
Top Bottom