Waliomshambulia Kubenea na Ndimara waachiwa huru!

Kwa Kubenea, naamini hawa walioachiwa walikamatwa kama kisanii na ndio maana hawajaonekana na hatia. Lakin nina wasiwasi waliofanya kosa hili wanajulikana na wanalindwa ili wasiletwe mbele ya sheria. Hili ndilo linalotisha!

Thanks
 
Hii ni proof moja kwamba nchi inaendeshwa na genge moja la kihalifu (criminal network).
 
Pelekeni ushahidi badala ya kulia kama wanawali waliopata kuhadithiwa ukubwa wa muhogo! Teh teh teh :tonguez:
 
Pole kubenea, pole pia mpiganaji mzee ndimara,.....
Hamna cha Lowassa wala Rostam ni Kwetw mwenyewe nwa mwane Ridhwani ndiyo waliohusika...baada ya Kubenea kuandika ile kashfa ya deep gree finance akimuhusiha kikwete, waziri masha, jaji nanii.. yule aliepewa ujaji kama sante kwa kuiba kupitia deep green finance, isshengoma n.k....
Ila wamechokoza nyuki , NINAVYOWAJUA KINA KUBENEA NA MZEE NDIMARA! revenji yao itakuwa hatari.....!
 
Maoni yangu: Haki imetendeka kwa watuhumiwa maana bila ushahidi usimfunge mtu. Lakini Haki haijatendeka kwa Ndimara na mwenzake. Ni jukumu la Jamhuri kuwakamata wahusika wa tukio badala ya watu wengine.

KUBENEA na Mwenzako nawapa pole. Hiyo inaitwa system
 
Back
Top Bottom