Waliompora Malima Morogoro wanaswa, vitu vyapatikana.....

Mbona huyu RPC anakanusha kuwa Malima hakuwa na SMG ilhal Malima mwenyewe alikiri kuwa anamiliki hiyo silaha pamoja na bastola. Huyo RPC anataka kutoa ujumbe gani ama imegundulika kuwa Malima anamiliki bunduki hiyo kinyume na taratibu zinazotakiwa?. Jambo lingine ni kwa nini huyo RPC anawahi kukanusha kuwa aliyemwibia Malima sio mwanamke, inawezekana mwanamke akashiriki kupanga hiyo dili lakini hao vijana walishirikishwa katika kuhamisha mzigo tu! Mbona anatumia nguvu kubwa kusawazisha mambo!
 
ungekua mwanaume tungekuita bwabwa
Hivi huyu si ndiyo yule mswahili wa kariakoo bingwa wa udini JF? au sijamwangalia vizuri Hijabu yake? maana mpaka mitandio ya kwenye taarabu siku hizi Bakwata wanaiita Hijabu!!
 
Mtasema yote kuficha ukweli lakini ukweli utajulikana tu.Malima kaibiwa na Kachangu Doa tena sio kazoefu na kukwiba,Mwizi wa Kiume asingekwenda kuficha mali yote hiyo kwa Mama Mdogo Maisha na ninyi Polisi mnaficha nini kama sio Kachangu mbona hamtaji majina ya hai watuhumiwa?,ila kitaeleweka tu ngoja tusubiri.
 
****!!!!

1. Three laptops - ????????
2. Three phones - ????????
3. SMG and Pistol - ???????
4. Mwizi asiyekuwa na jina kavificha vitu kwa mama mdogo - ????????
5. Watu watano washikiliwa na polisi - hata kwenye TV tusiwaone - ????????
6. Vitu vilivyoko kwa mama mdogo - hata kwenye TV visionekane - ??????

I can see too much force applied to fake the whole issue, Binafsi sijali Malima kuibiwa vitu vyake sababu hainiongezei wala kupunguza. Bali Mheshiwa RPC na Malima kaeni chini mpange uwongo mwengine - THIS IS BIG **** HATA KABINTI KANAKOSOMA CHEKECHEA KULE KIJIJINI TANDAIMBA KASINGEKUJA NA UWONGO HUU WA KIJINGA.


What do you expect from the Police force (a tool of cohesion) which is there to protect the interests of the ruling class?????

Tutasikia yote mwaka huu!!!
 
alafu na wewe Malima mi nadhani hela za kodi zetu walala hoi zinakuchanganya.Kujilimbikizia vitu vyenye thamani hivyo ndo nini wakati nchi hii tunashida kwelikweli,laptop 3 hata kama ungekuwa waziri wa habari pia bado hukuwa sahihi,simu za malaki 3,pete za almasi hii list inanikera kwelikweli...
 
yaani mkuu wa upelelezi asijue kutofautisha SMG na short gun? Nyambaf zake huyu mama! Kambale hata umsafishe kwa Jik haishi utelezi!
 
Hivi huyu si ndiyo yule mswahili wa kariakoo bingwa wa udini JF? au sijamwangalia vizuri Hijabu yake? maana mpaka mitandio ya kwenye taarabu siku hizi Bakwata wanaiita Hijabu!!

Acha uzuzu wewe. Jadili hoja usituletee vioja.
 
alafu na wewe Malima mi nadhani hela za kodi zetu walala hoi zinakuchanganya.Kujilimbikizia vitu vyenye thamani hivyo ndo nini wakati nchi hii tunashida kwelikweli,laptop 3 hata kama ungekuwa waziri wa habari pia bado hukuwa sahihi,simu za malaki 3,pete za almasi hii list inanikera kwelikweli...

Mnapokosa hoja. Wewe ulikatazwa kuwa navyo? Almasi zinachimbwa kwenu, halafu huna hata kipande kidogo? amma kweli, wewe inaonesha hata mbuga za wanyama hujaenda kuona mali asili wanyama toka kuzaliwa!
 
KAMANDA wa Polisi Mkoa wa Morogoro, Adolphina Chialo amesema kuwa aliyemwibia Naibu Waziri wa Nishati na Madini, Adam Malima vitu mbalimbali vyenye thamani ya zaidi ya Sh23.25 milioni katika hoteli ya Nashera mkoani Morogoro sio mwanamke

As if waliulizwa
 
walaahii sidanganyiki..............

yeye mwenyewe alisema wakati anahojiwa kuwa alikuwa na bastola na smg...ina maana alidanganya?

hapa walitaka kumsafisha...ila wamemsafisha kitoto.......warudi upya wakajifunze jinsi ya kusafisha loh!!!

shame on them...

 
Haaahaaa! Malima in his true face...na bwana mkubwa amesema anawalinda watu wake kwa gharama yoyote! Endeleeni na michezo ya kuigiza, lol!
 
kadri anavyojitahidi kuficha ukweli ndo anavyozidi kuuanika ukweli.
kama hayo ndo maelezo ya polisi basi polisi wetu wana safari ndefu.
1. kajichanganya kuhusu smg
2. hajatutajia majina ya hao wezi
3. ni zaidi ya wiki tangu tukio litokee lakini mwizi ameendelea kuhifadhi vitu(tena kwa mama mdogo)
4. nyayo za mwizi zimeonekana alikua peku(hapa naombeni nicheke wana jamvi)
5. ukijumlisha thamani ya vitu alivyokua navyo unapata picha ya maisha ya peponi wanayoishi viongozi wetu
6. inashawishi kuwavizia hawa viongozi wetu popote wanapopita ili tugawane keki ya taifa
7. ingekua nchi za wenzetu polisi wangejichukulia ujiko kuanika uwozo wa huyo kiongoz,hapa kwetu ni kinyume chake
8. black berry ya 5.5mil ???? hapa naombeni msaada wenu because haka ka blackberry kangu ni latest lakini hakajazidi 1m
9. policcm mnajidhalilisha kwa maelezo ya kitoto as if mko kwenye kile kipindi cha mama na mwana mnahadithia hadithi
 
Akizungumzia taarifa kuwa Waziri Malima alikuwa na SMG katika chumba chake alisema "Hakuwa na SMG alikuwa na bastola, SMG ni silaha ambayo hata mimi Kamanda wa polisi siwezi kutembea nayo"Alifafanua kuwa silaha hiyo ya kivita humilikiwa kwa kibali maalumu na kwamba si rahisi kwa mtu kuwa nayo kienyeji.

Kwani Malima hawezi kupata hicho kibali maalum?
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom