Waliompora Malima Morogoro wanaswa, vitu vyapatikana.....

Mchanga wa macho huo..!!:glasses-nerdy:! Naona anataka kujisafisha kwa nguvu kulinda ndoa yake na Kitumbua chake. Na bado mbona tutasikia mengi wiki hii
ngoja uncle shigongo aenda moro, kila kitu kitakuwa wazi ariffff..
 
****!!!!

1. Three laptops - ????????
2. Three phones - ????????
3. SMG and Pistol - ???????
4. Mwizi asiyekuwa na jina kavificha vitu kwa mama mdogo - ????????
5. Watu watano washikiliwa na polisi - hata kwenye TV tusiwaone - ????????
6. Vitu vilivyoko kwa mama mdogo - hata kwenye TV visionekane - ??????

I can see too much force applied to fake the whole issue, Binafsi sijali Malima kuibiwa vitu vyake sababu hainiongezei wala kupunguza. Bali Mheshiwa RPC na Malima kaeni chini mpange uwongo mwengine - THIS IS BIG **** HATA KABINTI KANAKOSOMA CHEKECHEA KULE KIJIJINI TANDAIMBA KASINGEKUJA NA UWONGO HUU WA KIJINGA.
 
Hahah halafu wanaanza na .........hakuibiwa na mwanamke!! Mh. unatumia nguvu nyingi sana kujisafisha kitu kinachozidi kutufanya tuamini yale tunayoyaamini. Kaa kimya tu ushasomeka.
 
Kuna kabila fulani la Watanzania wanajulikana sana kwa wizi, ngoja tuwaone watavyochambuwa hii habari kutokana na uzowefu wao.
 
Hahah halafu wanaanza na .........hakuibiwa na mwanamke!! Mh. unatumia nguvu nyingi sana kujisafisha kitu kinachozidi kutufanya tuamini yale tunayoyaamini. Kaa kimya tu ushasomeka.

Kwa sababu wazushi walisema kaibiwa na mwanamke, huyo mwanamke yuko wapi? wacheni majungu.

Ndio hayo, ya fulani hatumtaki lakini kwa tuhuma zipi? kimyaa!
 
mi nadhani huu ni usani alafu tuambiwe bayana kuwa MALIMA alikuwa anafanya nini mpaka aibiwe vitu vyote hivyo na tusidanganyane kuwa ni usingizi
 
Wow.... huyu polisi alihitaji kuwatafuta kaole wamtengenezee story; ati kila kitu kimepatikana kwa mama mdogo...

Hebu waache uongo jamani
 
Back
Top Bottom