Waliompeleka Satta Magogoni ya Zambia hawa hapa

Bajabiri

JF-Expert Member
Jan 1, 2011
9,730
1,201
Jumla ya watu waliojiandikisha kupiga kura nchi zambia ni watu milioni 5.2,hii ni idadi kubwa ya watu ambayo haijawah kutokea,lakin katika idadi hiyo asilimia kubwa ni vijana,,,,,,hii ina maana kuwa VIJANA ambao ni raia wa Zambia ndio waliomweka SATAA magogoni yaLUSAKA,japo amegombea kwa muda wa vipindi vitatu na kukosa lakini kipindi cha nne amepata,,,,,,,kwetu sisi vijana ni somo,,,,kwani ni wachambuzi wazuri sana kwenye mambo ya siasa na masuala meengi ya kuikosoa serikali,ila si wapigaji wa kura hasa wakaazi wa mijini hususan DAR,,,,,nadhan 2015 vijana tukiamua kuwaondoa watawala tusiowataka tutaweza,hata hao usalama wa taifa tunaowalaumu hawatoweza na hiyo KIRAVU COMMISSION itashindwa tuuuu,,,,,,,,vijana wa KIZAMBIA na sisi wanatofauti gani??????
Pia ukifuatilia kwa makin utagundua kuwa SATTA alikua ni mvumilivu sana,,,,,hakupenda kukata tamaa,ila inaonesha Polis wa Zambia si vibaraka kama hawa wa MWEMA,,,
 
Jumla ya watu waliojiandikisha kupiga kura nchi zambia ni watu milioni 5.2,hii ni idadi kubwa ya watu ambayo haijawah kutokea,lakin katika idadi hiyo asilimia kubwa ni vijana,,,,,,hii ina maana kuwa VIJANA ambao ni raia wa Zambia ndio waliomweka SATAA magogoni ya HARARE,japo amegombea kwa muda wa vipindi vitatu na kukosa lakini kipindi cha nne amepata,,,,,,,kwetu sisi vijana ni somo,,,,kwani ni wachambuzi wazuri sana kwenye mambo ya siasa na masuala meengi ya kuikosoa serikali,ila si wapigaji wa kura hasa wakaazi wa mijini hususan DAR,,,,,nadhan 2015 vijana tukiamua kuwaondoa watawala tusiowataka tutaweza,hata hao usalama wa taifa tunaowalaumu hawatoweza na hiyo KIRAVU COMMISSION itashindwa tuuuu,,,,,,,,vijana wa KIZAMBIA na sisi wanatofauti gani??????
Pia ukifuatilia kwa makin utagundua kuwa SATTA alikua ni mvumilivu sana,,,,,hakupenda kukata tamaa,ila inaonesha Polis wa Zambia si vibaraka kama hawa wa MWEMA,,,

Hapo kwenye red mkuu inaonekana umehamasika sana mpaka geografia yako ya darasa la 5 hadi 7 umeisahau. Lusaka mkuu, Harare ni kwa yule Kikongwe!
 
Vivyo hivyo ndivyo itakuvya kuwa Tz come 2015. Vijana ambao ni kundi kubwai wataichagua chadema bila kujali makabila yao, dini zao, ukanda wao, jinsia zao wala viwango vyao vya elimu kama ilivyokuwa Zambia na kama ilivyokuwa Marekani 2008- ( Wazee wa marekani walihoji, Can black man ever get into the white house?) Wakashtuka tayari. Tusubiri. Igunga inaweza kuleta ishara hiyo mapema.
 
Hahahahaaaaa,,,,,marekebisho yamefanyika
Hapo kwenye red mkuu inaonekana umehamasika sana mpaka geografia yako ya darasa la 5 hadi 7 umeisahau. Lusaka mkuu, Harare ni kwa yule Kikongwe!
 
hahaaaa yaaani watu wana hasira mpaka wanakodea miji...mweee
 
Back
Top Bottom