Waliohusika na kashfa ya Wizara ya Nishati

kingfish

JF-Expert Member
Apr 15, 2011
571
159
Inasikitisha sana kwa kila mtanzania kutokana na ubadhirifu wa fedha za umma katika wizara ya nishati kama kamati yeule ya bunge ilivyothibitsha.pia sikubaliani na wale wabunge waliowatetea ngeleja na malima wasijiuzulu kwa madai kuwa mfumo wa wizara unampa mamlaka makubwa katibu mkuu wa wizara.hawa jamaa wajiuzulu kwa sababu walipokea entertainment allowance ya sh.4,000,000 ambazo zilikusanywa nje ya utaratibu wa serikali.kama hawataki kujiuzulu tunakuomba rais uwawajibishe.
 
namna mpya ya kufisadi nchi.jpg ndivyo walivyo amua kufiasdi kwa njia hii sawa tu ila tutafika ingawa tutakuwa tumechoka sana
 
Na waraka unasema "Kama ilivyo kawaida", sasa hatujui hii kama kawaida ya kumkamua mwananchi ilianza mwaka gani. It could be years when JK himself was in-charge of the minerals ministry.
 
Inasikitisha sana kwa kila mtanzania kutokana na ubadhirifu wa fedha za umma katika wizara ya nishati kama kamati yeule ya bunge ilivyothibitsha.pia sikubaliani na wale wabunge waliowatetea ngeleja na malima wasijiuzulu kwa madai kuwa mfumo wa wizara unampa mamlaka makubwa katibu mkuu wa wizara.hawa jamaa wajiuzulu kwa sababu walipokea entertainment allowance ya sh.4,000,000 ambazo zilikusanywa nje ya utaratibu wa serikali.kama hawataki kujiuzulu tunakuomba rais uwawajibishe.
Huyo Rais unayemtaka awawajibishe, ni swaiba wao, wala haoni kama ni issue. Ningekuwa na uwezo, ninge mtafuta yule kaka alimpiga kibao Mwinyi ili amzape huyu Rais aliyeshindwa kuongoza
 
kuliko kufuatilia hawa wanasihasa utakufa kihoro maana ni unafiki na roho mbaya pia umimi..
 
Hii nchi imeoza kwa rushwa, wizi wa mali ya umma, ubabaishaji na ushirikina. Yaani kama tutaendelea kuyaendekeza haya, tusitegemee kufika popote pale. Tutaendelea kuwa watu wanafiki, waongo na wababaishaji mpaka tuliharibu kabisa Taifa letu.
Sauti hii inayovuma sasa inatudai tubadilike sisi wote kabisa. tukiendelea kudharau, tusije kumlaumu mtu. Tutajililia wenyewe
 
Huyo Rais unayemtaka awawajibishe, ni swaiba wao, wala haoni kama ni issue. Ningekuwa na uwezo, ninge mtafuta yule kaka alimpiga kibao Mwinyi ili amzape huyu Rais aliyeshindwa kuongoza
masikini yule jamaa aliyempiga mwinyi kibao alishakufa kwa kumbu kumbu zangu hata walitoa kwenye gazeti
 
Back
Top Bottom