Waliohitimu Stashahada na Astashahada ya Kilimo Ajira zao zimetoka leo

SG8

JF-Expert Member
Dec 12, 2009
3,955
2,125
Wakuu Heri ya Mwaka Mpya.

Kwa wale wenye sifa tajwa hapo juu ajira zao zimetoka kwenye gazeti la Mwananchi. Nimeshindwa kufungua tovuti ya wizara ya Kilimo ili niweke hapa hayo majina kwa sababu eneo nilipo mtandao unanisumbua kidogo.

Waliobahatika kuajiriwa hongereni sana, mnatakiwa kuripoti kwenye vituo vya kazi ndani ya siku 14 tangu tarehe ya tangazo/kupata barua ukiwa na vyeti vyako vyote vya taaluma husika.

Goodluck
 
Na Mungu awatangulie ktk kazi zenu

na wote tuseme Amen...
 
Wana jf mliopata hongereni

Nendeni mkalete mabadiliko na siyo mnakuwa wazembe, walalamishi, wala rushwa alafu mnabakia kupiga porojo na siasa mkiwanyoshea vidole mafisadi kumbe huo nao ufisadi

Kawatumikieni wananchi kwa moyo, mkibadilika mkapiga kazi kwa adabu na bidii ndo mabadiliko ya kweli yatakuja.
Porojo tu za kulaumu hazitoshi kama wewe hujabadilika
 
Hapa hapa ndiyo huwa graduates wa SUA wanajibebea ushindi wa mezani!Nadhani so far ni chuo kikuu pekee kinachotoa shahada zinazokidhi mahitaji ya kazi hizo za wizara ya kilimo.Hongereni mliopata kazi tunategemea mabadiliko ya kweli ya kilimo kutoka kwenu siyo siasa iliyopo sasa hivi!
 
Kwani SUA wanatoa Astashahada na Stashahada? Nafikiri sivyo!!!!!
 
Back
Top Bottom