Waliogawa Sanda Nachingwea ili Kudhibiti M4C Wafariki Dunia!

Enjoy satanic company for all eternity malice mongers! As for us we began with God, we will finish with God.
 
Wao walifikiri nani atakuwa wa kwanza kuzitest? Huwezi mpa mtu mwenye njaa sanda, huyo jamaa kadhalilisha sana watu wa kusini. Na hiyo misikiti iliyopokea ina maana walishaona kipaumbele ni sanda tu. Siyo shule, dawa, maji etc? Sidhani kama makanisa yangepokea ujinga huu.
 
Jamani si wazee walisema maiti haulizwi sanda?sasa unampa mtu mzima sanda akifa si waliobakia watatafuta sanda?hili la kupeana wazima sanda sasa uchuro,nashukuru wameanza kufa wagawaji.Maana siku hizi hata hatuaminiani mara freemason,msukule nk.na hata sijui waligawa kwa kila familia,kila mtu au ilikuwaje.jaman tusikubali kila msaada tutapokea na sanda.Mungu awalaze marehemu wanakostahili.
 
Kuna vitu vinaitwa superstition na bad omen kwamba ukimwish mtu yamkute mabaya, lazima hayo mabaya yakurudie!.

Kaburi likichimbwa ili kuzikia, ikitokea sababu yoyote mwili ukachelewa hivyo mazishi ni kesho yake, kaburi lile lazima lifukiwe na kesho yake litachimbwa tena kwa hoja kuwa haliwezi kulala wazi!. Eti likilala wazi mtu wa ukoo huo atakufa usiku huo!.

Kuna hoja kuwa mtu akiigiza amekufa na kuingia kwenye jeneza, mtu huyo hatimaye hufa!. Yule muigizaji aliye act kwenye wimbo wa Mwana FA na Lady JD, " Alikufa kwa ngoma" aka act kwenye jeneza, alikuja kufa muda mfupi baada ya kuactia kwenye jeneza!.

Wale wazungu waliolifungua pyramid la Tunkamenan huko Misri walikufa ghafla mmoja baada ya mwingine na uchunguzi wa miili yao haukuweza kugundua chanzo cha kifo hivyo kuelezwa wamekufa 'natural death'!.

Hakuna uthibitisho wa scientific linkage kati ya matukio hayo ya kugawa sanda na vifo vilivyofuatia, its just an amaizing coincidence!.
 
This is coincidence. Hii inanikumbusha yule Mheshimiwa aliyenyosha mkono bungeni kutoa hoja kwamba Mhe. Zitto asimamishwe ubunge. Baada ya muda mfupi ule mkono kwishney umebaki kifutu,!!!!!! inasikitisha, lakini ukimwombea kifo mama wa kambo, hufa mama mzazi.
 
Huu upepo wa m4c naamini hautamuacha hata mmoja anayekwenda against simple b/se tulianza na Mungu na tutamaliza na Mungu!
 
Kuna vitu vinaitwa superstition na bad omen kwamba ukimwish mtu yamkute mabaya, lazima hayo mabaya yakurudie!.

Kaburi likichimbwa ili kuzikia, ikitokea sababu yoyote mwili ukachelewa hivyo mazishi ni kesho yake, kaburi lile lazima lifukiwe na kesho yake litachimbwa tena kwa hoja kuwa haliwezi kulala wazi!. Eti likilala wazi mtu wa ukoo huo atakufa usiku huo!.

Kuna hoja kuwa mtu akiigiza amekufa na kuingia kwenye jeneza, mtu huyo hatimaye hufa!. Yule muigizaji aliye act kwenye wimbo wa Mwana FA na Lady JD, " Alikufa kwa ngoma" aka act kwenye jeneza, alikuja kufa muda mfupi baada ya kuactia kwenye jeneza!.

Wale wazungu waliolifungua pyramid la Tunkamenan huko Misri walikufa ghafla mmoja baada ya mwingine na uchunguzi wa miili yao haukuweza kugundua chanzo cha kifo hivyo kuelezwa wamekufa 'natural death'!.

Hakuna uthibitisho wa scientific linkage kati ya matukio hayo ya kugawa sanda na vifo vilivyofuatia, its just an amaizing coincidence!.

hapo kwnye blue ndio nakusikia wewe mkuu, halafu mimi sina interest na magazeti ya kidaku na blogu za kidaku pia
 
Msikitini kulionekana na upungufu mkubwa wa sanda? Manake hii misaada mingine jamani, khaa!
 
Hawezi kufa Chikawe, keshawatoa wenzake kafara... Yeye atadundadunda tena kwa miezi kadhaa, atatoa tena kafara nyingine.. Umaskini bwana... Mtu unakubali kutumika hadi kugawa sanda!!!
 
Ngosha Pasco, ina maana hata wacheza sinema wa Hollywood wanaoigiza vifo,nao ufariki baada ya hapo?! Au hii 'bad omen' ipo Bongo tu?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom