Waliofunga harusi mwaka huu na wangependa kutokea kwenye magazine/jarida la harusii watume picha zao

lara 1

JF-Expert Member
Jun 10, 2012
15,700
29,111
Hello!

Jamani kuna gazeti/ jarida jipya limeanzishwa special kwa mambo ya harusi linaitwa malaika magazine. Kwa wale mliofunga harusi mwaka huu na mgependa kutokea gaeteni mtume picha za harusi zenu malaikamagazine@gmail.com na mtatokea toleo la november. Wanapokea picha nyingi tu hata za sherehe nzima.

Asanteni na mbarikiwe
 
Back
Top Bottom