Waliofiwa na ndugu zao wakati wa mgomo kumshtaki Dk Ulimboka na chama cha madaktari

Hapana ..... sio vijembe....unisamehe...... ila kila mtu anafahamu kuwa mgomo ule haukuandaliwa na chama chochote cha madaktari bali 'jumuiya'' yao ambayo kisheria haipo.......hivo ukitaka kushitaki wa kushtakiwa ni serikali kwa kushindwa kutoa huduma......maji yasipotoka bombani wa kushitaki ni DAWASCO na si yule fundi bomba hata kama kagoma!!

Thanks mkuu!
 
Da! Shule za KATA nazo ZINATUKATA mno IQ zetu.
Kasomeni kitu inaitwa PRIVITY OF CONTRACT na VICARIOUS LIABILITY. nadhani wataachana na ma dr.
 
Back
Top Bottom