Waliochaguliwa

Baba Collin

JF-Expert Member
Aug 1, 2011
456
58
Jamani mmechukuliaje matokeo ya stashahada ya ualimu,inamaana vyuo ni vichache kiasi cha kuchaguliwa idadi hyo?
 
inamaana watu 3677 ni kidogo? Kwani kawaida ni watu wangapi? Je,kama watu hawakuomba unategemea nini?
 
Nisaidieni jamani kwa mwenye majina haya ya diploma anisaidie,hayafunguki jamani angalia panda lucas na maige jeja kama wapo na vyuo walivyochaguliwa
 
Mwenzako akinyolewa zako tia maji,wakubwa 2lioomba undergraduate kazi kweli kweli,selection za diploma ndo hizo hapo so any time T kitu kinanuka,in GOD we trust.
 
Back
Top Bottom