Waliochaguliwa kujiunga na udom hawa hapa

miradibubu

JF-Expert Member
Sep 21, 2010
312
84
Samahani kwa wale watakaodhani nimeiweka hii mada sehemu isiyohusika. ukweli ni kwamba wingi wa wanafunzi elimu ya juu ndiyo kusogea kwa mazishi ya sisiem, uanaweza usielewe ninamaanisha nini. Siku ya mazishi ikiwadia utaelewa ninachosema. Angalia matokeo haya
 

Attachments

  • Direct%20Entry.pdf
    367.5 KB · Views: 1,732
  • Equivalent.pdf
    88.4 KB · Views: 1,517
Thanks very much mkuu manake TCU inasumbua sana. kama inawezekana na vyuo vingine waweke basi vijana wanapata shida
 
Back
Top Bottom