Walioamua kuvunja agano..

ngoshwe

JF-Expert Member
Mar 31, 2009
4,131
931
DNMILINGO2406b.jpg

Maskofu wa kanisa Katoliki walioamua kuachana na useja wakipozi na wake zao mbele ya altare huko Nairobi nchini Kenya.Kushoto Askofu Emanuel Millingo wa Zambia na mkewe Bi. Maria Sung na Katikati Askofu Daniel Kasomo na waifu wake Maryanne akiwa kulia . Wachungaji wa kondoo wameamua mwelekeo mpya ..
 
Unauhakika ni kanisa Katholiki ?
Maana kuna makanisa mengine yana
Maaskofu pia na wanaruhusu wao kuoa
Au kuolewa mfano . Anglican
 
Unauhakika ni kanisa Katholiki ?
Maana kuna makanisa mengine yana
Maaskofu pia na wanaruhusu wao kuoa
Au kuolewa mfano . Anglican

Emmanuel Milingo (born June 13, 1930) is a former Roman Catholic archbishop from Zambia. In 1969, aged 39, Milingo was consecrated by Pope Paul VI as Bishop of the Archdiocese of Lusaka.[SUP][1][/SUP]
In 1983 he stepped down from his position as Archbishop of Lusaka after criticism for exorcism and faith healing practices unapproved by Church authorities.[SUP][2][/SUP]
In 2001, when Milingo was 71, he received a marriage blessing from Sun Myung Moon, the leader of the Unification Church, despite the prohibition on marriage for ordained priests.
In July 2006, he established Married Priests Now, an advocacy organization to promote the acceptance of married priests in the Roman Catholic Church. On September 24, 2006 Milingo ordained four men as bishops without a papal mandate. The Holy See Press Office announced in an unsigned statement two days later that Milingo had been automatically excommunicated by that act.[SUP][3][/SUP] All four men were married at the time of their ordination.
On December 17, 2009, the Holy See Press Office announced that Milingo had been reduced to the lay state, making him no longer a member of the Catholic clergy.[SUP][4]


Archbishop Kasomo Daniel is A Roman Catholic Bishop and The Prelate of The Society of St Peter and Paul Inc in Kenya. He has done Philosophy for two years, and Theology for Four Years after which he did Masters in Religion with course work and Research Thesis for two years and Doctorate with course work and Research Thesis for three years. He is now a Senior Lecturer in Maseno University in Kenya. Former Dean of Students in Egerton University Nakuru Town Campus. Former Head and Starter of Career Development and Counselling in Lakipia University College in Kenya. Former Head of Religious Studies Department in Catholic University of Eastern Africa in Nairobi Kenya. May to August 2011 He is The Acting Chair of Department of Religion, Theology and Philosophy in Maseno State University in Kenya. Bishop Kasomo is a Lecturer in Research and Religion. He has taught Research methods in Catholic University of Easern Africa, Egerton University in Kenya, Laikipia University College in Kenya, Moi Airbase to military Students taking BA in Military Science and now he is teaching Research Methods in Maseno University in Kenya. He has published immensely locally and abroad.He has Published books in Research Methods, Pastoral Counselling, Scripture and Religion. See Amazon Website for his publications. Bishop Kasomo loves Pastoral work, preaching, Teaching, Counselling and Research and Publication. Bishop Kasomo has asked for legitimation of his Episcopal ministry and we hope it will be generously considered by His Holiness Pope Benedict XVI. Time is of essence and we leave everything in the Hands of God because our conscience tells us that we are what we are by the Grace of God. May the Good Lord who begun this work in us bring it to completion. Amen.

<tbody>
</tbody>
Bishop Daniel Kasomo | Facebook
Rebel priests await Milingo visit



Another 10 priests have broken away from the Catholic Church over celibacy.And controversial Zambian archbishop Emmanuel Milingo is set to rub his former church the wrong way as he arrives in the country in a fortnight to ordain two bishops of the Married Priests Now! movement.

The priests, from Machakos, Nairobi, Nakuru and Nyeri dioceses, converged in Machakos to lay ground for their big day.
[/SUP]
[SUP]
The occasion was the largest gathering of renegade priests since the local Catholic Church started witnessing rebellion among its clergy.

The priests met at the home of the Rev (Dr) Fr Daniel Kasomo in Katelembo on Saturday, where they celebrated Mass and then had lunch with some worshippers.

Introduced wife

Their host introduced his wife and four children to the group, saying he was no longer living a life “full of deception”.

Dr Kasomo, who teaches at Maseno University, and his counterpart from Methodist University, Fr (Dr) Peter Njogu, formerly of the Nyeri Diocese, led their colleagues in declaring that they had no regrets for joining the new outfit.

The priests in the new group include Fr John Ndung’u, formerly of Murang’a Diocese, Fr Chrisantus Muasya, Fr Joseph Makau, Fr Peter Kaloki, Fr Justin Kilonzo and Fr Joseph Makau.

Seven deacons - Justus Mukili, Cosmas Mule, Stephen Kathukya, Andrew Kioi, Geoffrey Ngare, Thomas Musinya and Peter Kinyanjui - also broke ranks to join the new out fit.

The movements founder, Archbishop Milingo, who is married, was excommunicated from the Catholic Church in 2006 after he ordained four married men as bishops.

Two weeks ago, another faction, the Reformed Catholic Church, ordained its new head in Kenya at Kitale and a new priest at a function in Kisumu.

The renegades say they have not run away from the Roman Catholic Church but want to bring change from within.

Priests from the Married Priests Now! movement, formed early last year, are expected to be officially incorporated into the new church and given higher roles after attending a conference in Lang’ata, Nairobi, on June 28.

The conference will be followed by the consecration of new bishops, Fr Kasomo, formerly of Machakos Diocese, and Fr Benoit Mitchel from Canada.

During the function at his home, Dr Kasomo said more priests were ready to join the new church.

“Many priests are tired of living a life full of lies. They want to openly admit what they have been hiding from for many years,” he said.

The latest move has ignited sharp reactions from the church and in some quarters Dr Kasomo’s crusade is viewed with suspicion.

With the Vatican’s new orders giving bishops authority to excommunicate errant faithful, the dice seems to be cast for the rebel priests.

Dr Kasomo, a senior lecturer in Religion, Theology and Philosophy, says plans are underway to set up a cathedral in Machakos. This is likely to bring him into sharp conflict with his former boss, Bishop Martin Kivuva, who has cautioned the faithful to be careful with the new outfit.

Dr Kasomo confesses that he had a steady girlfriend who had his first child by the time he was ordained a priest in 1992.

Shortage

“The child was born in 1987 and is in the university. Her mother, a secondary school principal, is today my wife and a proud mum of four children, the last born being just two years old,” he said.

He claims the traditional Catholic Church is in dire straits because of a shortage of priests. Priests are serving up to 30 parish stations, he says.

“In the face of this crisis, there are married men who can also be called to the priesthood”, he said.

The priest says that their main goal is to return married priesthood as it was with St Peter, the first pope.

“From the time of Christ up to 12th century, priests, bishops and popes were married. Christ called Married Men,” he defended himself.

[/SUP]
[SUP][/SUP][SUP][/SUP]
 
Last edited by a moderator:
DNMILINGO2406b.jpg

Maskofu wa kanisa Katoliki walioamua kuachana na useja wakipozi na wake zao mbele ya altare huko Nairobi nchini Kenya.Kushoto Askofu Emanuel Millingo wa Zambia na mkewe Bi. Maria Sung na Katikati Askofu Daniel Kasomo na waifu wake Maryanne akiwa kulia . Wachungaji wa kondoo wameamua mwelekeo mpya ..
Wameona mbali kuowa kwani katika biblia hakuna sheria inayomkataza Mchungaji asiowe, Wakatoliki walijipangia wenyewe sheria ya kutoowa Wachungaji kwenye biblia hakuna hiyo sheria. [h=1]Waebrania 13 3 Ndoa na iheshimiwe na watu wote, na malazi yawe safi; kwa maana waasherati na wazinzi Mungu atawahukumia adhabu.[/h]
 
Wameona mbali kuowa kwani katika biblia hakuna sheria inayomkataza Mchungaji asiowe, Wakatoliki walijipangia wenyewe sheria ya kutoowa Wachungaji kwenye biblia hakuna hiyo sheria. Waebrania 13 3 Ndoa na iheshimiwe na watu wote, na malazi yawe safi; kwa maana waasherati na wazinzi Mungu atawahukumia adhabu.

Mjadala huu nina wasi wasi wa mwelekeo wake!
 
Mapadri na Maaskafu nao wanahisia kama walivyo binadamu wengine..kama mtu huko kwenye ndoa na anatamani wanawake wengine hadi anatembea nao iweje hawa ambao hawajaoa???? Mi naona waruhusiwe tu kuoa.
 
Haya Mambo ni magumu kwani katika biblia hiyo hiyo kuna sehemu wamemnukuu YESU akisema kwamba "Kuna wale ambao hawataoa kwa ajili ya sifa na utukufu wa MUNGU" na hapo alikuwa anarespond kwa swali la kwamba ni lazima kuoa au la
 
uwezi kuwatumikia mabwana wawili.. naogopa nikiendelea mjadala utaibua jazba lkn kwa wakatoliki wenye imani na uelewa tutaelewana.
 
uwezi kuwatumikia mabwana wawili.. naogopa nikiendelea mjadala utaibua jazba lkn kwa wakatoliki wenye imani na uelewa tutaelewana.

Siku hizi wengi wameamua kuhalalisha kichini chini na panegine hao ndio wametusababishia ongezeko la watoto waishio katika mazingira magumu. Yana ":ndoweka" (kufanya tendo la ndoa) kinyemela, hawataki jambo hilo lifahamike, wanashindwa kutoa matunzo, wanawatelekeza wale waliowazalisha na hatima yake ni kujiongezea dhambi juu ya dhambi!!
 
Biblia iyo unayoiongelea ilikusanywa na kuundwa na kanisa katoliki.....miaka ya 300-1000 AD....so kulikosoa kanisa kwa misingi ya biblia logic yake bado ndogo...wao wanajua vitabu gani vinaelezea swala la ndoa za makuhani na kwa maamuzi ya makusudi au ya bahati mbaya kanisa katoliki halikuvijumuisha vitabu ivyo kwenye biblia
 
Back
Top Bottom