Walio apply udzm 2012 soma hapa

a a a aaahaaah nini sasa,sijaona perry kakujibu lolote,2meamua kusubiri wengne.

kwa mlio ni pm

1. Reginald silayo-failed
2. Noor Mzava-passed
3. Adolf simba-failed
4. Steven leonard-failed
5. Frank kerota-failed
6. Obed kaberwa-failed
 
kwa mlio ni pm

1. Reginald silayo-failed
2. Noor Mzava-passed
3. Adolf simba-failed
4. Steven leonard-failed
5. Frank kerota-failed
6. Obed kaberwa-failed

he ndo yamekua hayo tena. . .naona hao failed wamepata na kausingz baada ya kuona,ila swala la kupaste yote humu lipo palepale.
 
kwa mlio ni pm

1. Reginald silayo-failed
2. Noor Mzava-passed
3. Adolf simba-failed
4. Steven leonard-failed
5. Frank kerota-failed
6. Obed kaberwa-failed

ze duduz ebu nichekie na hli hapa magembe jackson aliomba education with sience
 
kaka mfano we ni bosi wa ofisi fulani afu ndani ya ofisi hiyohiyo kuna jambo linafanyika hebu nambie hapo utashindwa kufahamu ya kuwa kuna kitu kinaendelea ndani ya ofisi yako? Waitn 4ur answer

umesema huyo prof ni mkuu wa department.sasa mkuu wa department ana uhusiano gan na selection?yeye atahusika pale mwanafunz atakapo kuwa registered otherwise ungeniambia huyo prof ni dean wa college mojawapo pale ud atleast ningekuelewa,bt head wa department hausiki kwa vyovyote vile ktk selection.we kubali 2 umedanganywa na mshkaji wako nawe umekuja kutudanganya huku.
 
daah !! Mheshimiwa una maswali Mengi?? Kwani wewe ni Polisi??
 
acheni kudanganywa nyie....kwa taarifa tu ni kwamba ufaulu wa mwaka huu umekua mbovu sana hadi selection committee wameshindwa wamchague nan na wamuache nan cos watu wengi wameangukia kwenye 3,sasa hao ud wakisema wachukue dv 1 tu watazitoa wap?ze duduz jipange kabla hujaanza kudanganya watu mkuu.
 
Kama wewe hujapata one pole watu tumetupia one ,div3 ni bora muombe ruco,tumaini n.k,udsm ni div i na ii tena ya kumi!
 
Kama wewe hujapata one pole watu tumetupia one ,div3 ni bora muombe ruco,tumaini n.k,udsm ni div i na ii tena ya kumi!

we mpiga msuli acha fujo wewe, we unafikiri ud watapeleka vichwa peke yake, lazima wachanganye mkuu acha hzo we mpiga msuli
 
Mfukunyuzi, naomba radhi bwana iyo taarifa nimeipata kutoka kwa jamaa mmoja yupo udsm kwamba wao ni i na two basi!
 
Mfukunyuzi, naomba radhi bwana iyo taarifa nimeipata kutoka kwa jamaa mmoja yupo udsm kwamba wao ni i na two basi!

poa mpiga msuli ila kuwa makini ktk kutoa kauli zako ili usiudhi wa2, jaribu kuudhirishia umma kwamba kweli ulienda shule kuelimika na sio irimradi umalize kusoma, taifa linatutegemea vijana sasa kama utakua m2 wa kukurupuka 2taanza kuhoji uwezo wako
 
acheni kudanganywa nyie....kwa taarifa tu ni kwamba ufaulu wa mwaka huu umekua mbovu sana hadi selection committee wameshindwa wamchague nan na wamuache nan cos watu wengi wameangukia kwenye 3,sasa hao ud wakisema wachukue dv 1 tu watazitoa wap?ze duduz jipange kabla hujaanza kudanganya watu mkuu.

kaka Jipangeeee !! We kama ulilamba dvn 3 ni wewe tatizo mkifika shule mnakalia Mapenzi hii ndo tatzo la kuanza mapenz ukubwani..!! Ulikuwa wapi primary na O-lvl tena nyie mkifika chuo ndo walewale mwisho wa siku unaambulia wale wadudu wadogo wanaokula kilo nzma ya nyama kwa kushobokea Mbunye.!! Xo dogo narudia tena Jipangeeeh !! Sasa mfano mzuri kwenye iyo actorial science wanataka watu ka 28 kwa iyo unataka kuniambia mwaka huu EGM Waliopata dvn1 ni watano (5) tu na wengne wakapa dvn 3 Huu ni upuuzi?? Kwa iyo unataka kuniambia wawaache washkaji wa EGM waliozibua dvn 1 zao za 5 na 6 even ya 7 na 8 wakuchukue wewe Kilazaa tena Kiaziii uliyepata dvn 3 tena nahisi ni ya kumi na 15 or 16 Hahahahah.!! Sasa kwa taarifa yako Mwaka huu EGM PCM and somehow PGM wametusua ile mbaya wewe kama shule Yenu walitaga ni Nyie bhana usitujumuishe na wengine.! Nadhani umenisoma>>>> Perry
 
Mfukunyuzi ,pouwa yani mimi nataraji kuwa mwanasiasa machachari zaid ya zitto, ngoja nianze na umoja wa vijana kwanza
 
Back
Top Bottom