Walio apply udzm 2012 soma hapa

Wewe ze duduz mimi siamini bado,kama vip icopy hyo list yote hapa jf ili kila mtu aione!siamin kama huyo prof anaweza akawa mzembe kias hcho akayaacha ovyo hayo majina ambayo hayajawa published,vile vile nijuavyo mimi pale udsm anaehusika na masuala ya admission ni director wa undergraduate studies ambae kitaaluma hata sio prof.
 
C kila prof. anahusika na admission. Idara ya udahili ndio ina username pamoja na password wanazo log in kwenye ile link iliyopo tcu kuona applicants waliopangiwa na cas. Na sizani kuna Prof. irresponsive that much.
 
Kuna kitu nimekipata hapa
 
mkuu,nadhani na wewe umeishtukia hii,afu kingne anasema eti huyo prof kaweka majina kwenye cd.me nijuavyo data muhmu ka hzo znatunzwa kwenye flash na co kwenye cd kama nyimbo za bongo fleva,kingne yeye anazan mtu akisha kua prof kwenye chuo flan basi info zote za chuo anazo hajui kama masuala ya admission yana ofisi yake maalumu.ucje ukakuta kijana ana majina ya watu wanaotakiwa kufanya supp yeye anadhan ni ya waliochaguliwa.
 
Kuna kitu nimekipata hapa

Kaka najua ya kwamba kuwa yule mzee hausiki na selection lakni kumbuka ya kuwa yeye ni mkubwa pale..! mpango mzima ni lazima achague wanafunzi wake xo mwisho wa siku tunarudi kulekule kuwa ni lazima atakuwa na majina ya wale wote waliochaguliwa pale udzm.! Sasa kwa taarifa ni kwamba jamaa atanitumia majina yote kwenye ma email na mimi bila kinyongo nitajitahidi kuyaweka hapa jamvini ili kila moja aweze niamini na kwa habari zaidi ni kwamba selection zitaachiwa trh 13 mwezi Huu ambayo ni siku ya jumata3 Overrrr;-(
 
Kaka najua ya kwamba kuwa yule mzee hausiki na selection lakni kumbuka ya kuwa yeye ni Head wa department ya geology pale udzm mpango mzima ni lazima achague wanafunzi wake xo mwisho wa siku tunarudi kulekule kuwa ni lazima atakuwa na majina ya wale wote waliochaguliwa pale udzm.! Sasa kwa taarifa ni kwamba jamaa atanitumia majina yote kwenye ma email na mimi bila kinyongo nitajitahidi kuyaweka hapa jamvini ili kila moja aweze niamini na kwa habari zaidi ni kwamba selection zitaachiwa trh 13 mwezi Huu ambayo ni siku ya jumata3 Overrrr;-(

mkuu,hata hapo bado huaminiki.mimi kwa uelewa wangu,head of department anakabidhiwa orodha ya wanafunzi wale wanaokua tayari wameripot vyuon na kufanyiwa registration,mbali na hapo haya masuala mengne yote hayamhusu kwa sasa.well,itakua vizuri huyo msela wako akikutumia hayo majina nawe uyacopy hapa ili na sie tukuamini!na ni nani alikudanganya head of department huwa anafanya kazi ya kuchagua wanafunzi wake,unazijua kazi za ma admission officers au selection committee weye,na infact kwa mfumo wa sasa system ndio inayokuchagua na sio mambo ya manual kama enzi za nyerere.
 
kama vipi mwambie akutumie sasa hivi...ili na wewe ufanye mpango mpango wa kuyapaste humu...
 
Pamoja kaka, cheki pm
 
kama vipi mwambie akutumie sasa hivi...ili na wewe ufanye mpango mpango wa kuyapaste humu...

Kaka haraka ya nini? Just wait 2moro i swear to GOD nitayaweka hapa jamvini ili muamini coz mnadhan nawatania.! I'm a great thnkr and i knw what am duin..
 
mkuu,hata hapo bado huaminiki.mimi kwa uelewa wangu,head of department anakabidhiwa orodha ya wanafunzi wale wanaokua tayari wameripot vyuon na kufanyiwa registration,mbali na hapo haya masuala mengne yote hayamhusu kwa sasa.well,itakua vizuri huyo msela wako akikutumia hayo majina nawe uyacopy hapa ili na sie tukuamini!na ni nani alikudanganya head of department huwa anafanya kazi ya kuchagua wanafunzi wake,unazijua kazi za ma admission officers au selection committee weye,na infact kwa mfumo wa sasa system ndio inayokuchagua na sio mambo ya manual kama enzi za nyerere.

kaka mfano we ni bosi wa ofisi fulani afu ndani ya ofisi hiyohiyo kuna jambo linafanyika hebu nambie hapo utashindwa kufahamu ya kuwa kuna kitu kinaendelea ndani ya ofisi yako? Waitn 4ur answer
 
mkuu,hata hapo bado huaminiki.mimi kwa uelewa wangu,head of department anakabidhiwa orodha ya wanafunzi wale wanaokua tayari wameripot vyuon na kufanyiwa registration,mbali na hapo haya masuala mengne yote hayamhusu kwa sasa.well,itakua vizuri huyo msela wako akikutumia hayo majina nawe uyacopy hapa ili na sie tukuamini!na ni nani alikudanganya head of department huwa anafanya kazi ya kuchagua wanafunzi wake,unazijua kazi za ma admission officers au selection committee weye,na infact kwa mfumo wa sasa system ndio inayokuchagua na sio mambo ya manual kama enzi za nyerere.

Na ukiniuzi siya Post !! Kwani lazima kuya post
 
Back
Top Bottom