Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Walinzi wa viongozi wastaafu wadai Posho

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Andrew Nyerere, Feb 15, 2009.

  1. Andrew Nyerere

    Andrew Nyerere Verified User

    #1
    Feb 15, 2009
    Joined: Nov 10, 2008
    Messages: 2,815
    Likes Received: 754
    Trophy Points: 280
    Zipo habari ambazo zimeandikwa katika gazeti,siku mbili au tatu zilizopita,sikumbuki gazeti gani,kwamba walinzi wa FFU wanaowalinda Viongozi wastaafu,kama vile Ndugu Kawawa,Ndugu Msuya,na wengine,hawajalipwa posho zao. Kwamba wengine wanadai posho toka mwaka 2006.
    Habari hizi naona kwamba zinaupotosha umma,kwa sababu hakuna walinzi wa FFU ambao kazi yao ni kuwalinda viongozi wastaafu tu. Walinzi wa FFU wanawalinda viongozi ambao ni wastaafu,na wale ambao wapo madarakani. Hapa kinachosemwa tu ni kwamba,hawa walinzi wanalipwa posho zaidi wanapokwenda Ikulu kulinda,posho ambayo wanataka kuipata wanapokwenda kwingine kulinda.
    Kwa hiyo,ina maana kwamba Serikali katika kupanga priorities zake,inaweza kuamua kwamba ulinzi wa Viongozi wa sasa ni muhimu kuliko kuwalinda wastaafu. Hiyo inawezekana,na we do not want to question about the priorities of the Government.
    Hawa FFU na Usalama wa Taifa wanayo collective duty kuwalinda viongozi wote. Nadhani tatizo linatokea kwa sababu ya disparity ya pay kati ya FFU na Usalama wa Taifa. Usalama wa Taifa wanalipwa fedha nyingi zaidi. Nasema 'nadhani' kwa sababu sijawasikia FFU wanalalamika kuhusu hizi disparity,lakini if they are not loudly complaining,it does not mean that they are not complaining. What disparities,you are asking? Well,Usalama wa Taifa wanakwenda kazini,wakati mwingine,na magari yao ya binafsi,wakati mwingine wanakwenda kazini na Benz,can you belive it,mlinzi anakwenda kazini na Mercedes Benz?
    This is what is going on. Kwa hiyo wale Usalama wa Taifa,in their anxiety to protect the President,they are paying them a lot of money. Na Uongozi wa FFU cannot compete with them,kuwalipa FFU. Kwa hiyo inatokea disparity. Na hata kama FFU watasema wanashukuru kwamba wanapokwenda Ikulu wanalipwa posho,it is unlikely kwamba wanalipwa anything approaching the fabulous amounts of money given to Usalama wa Taifa. Kwa hiyo complaints labda zitakuwepo,which the Government may want to adress.
    Lakini hawa watu wakianza kuleta malalamiko,kama wanavyofanya sasa,inakuwa kama vile kuna ubishi iwapo viongozi wastaafu wanastahili kulindwa.
     
  2. P

    Pasco Platinum Member

    #2
    Apr 26, 2015
    Joined: Sep 22, 2008
    Messages: 19,605
    Likes Received: 5,102
    Trophy Points: 280
  3. Deo Corleone

    Deo Corleone JF-Expert Member

    #3
    Apr 27, 2015
    Joined: Jun 29, 2011
    Messages: 13,956
    Likes Received: 1,268
    Trophy Points: 280
    Pasco kwani kuna nini na Andrew?
     
  4. TUTUO

    TUTUO JF-Expert Member

    #4
    Apr 27, 2015
    Joined: Dec 3, 2013
    Messages: 845
    Likes Received: 327
    Trophy Points: 80
    Sasa FFU c wawarudishe kwenye standby zao na hao Usalama wa Viongoz waendelee kulinda Viongoz maana hata kutafuta habar cku hz hawawezi
     
Loading...