Walinzi wa Kikwete wana silaha za kutosha?

sikiolakufa

JF-Expert Member
Feb 1, 2010
411
54
Hivi walinzi wa rais akiwa kwenye msafara wana silaha kiasi gani iwapo watu wenye hasira wakiamua kumshambulia kwa mawe kutokana na kushindwa kutekeleza majukumu yake kama kiongozi mkuu wa nchi? Vile vi bastola kiunoni kweli vinaweza kushindana na nguvu ya umma?
 
Hivi walinzi wa rais akiwa kwenye msafara wana silaha kiasi gani iwapo watu wenye hasira wakiamua kumshambulia kwa mawe kutokana na kushindwa kutekeleza majukumu yake kama kiongozi mkuu wa nchi? Vile vi bastola kiunoni kweli vinaweza kushindana na nguvu ya umma?

kajaribu uone kama ni vibastola au ni BASTOLA.
 
Usithubutu Comrade mwache amalize zama zake tufunge kitabu chake basi tuachane nae ameshatunyea huyu hatuwezi kuvikata viganja vyetu
 
wana silaha za kutosha, kila dereva anayeendesha gari katika msafara na smg na magazine za kutosha kuweza kukabiliana na dhoruba yoyote endapo itatokea.

Kwa mantiki usalama wa rais ni mkubwa sana kwa namna yoyoye ile.


duh mzee wa rula naona uko jikoni....kumbe wanabeba mashin>>>>sasa kama yuko kwenye saloon car wanazihifadhi wapi? Kwenye buti?
 
Mkuu,achana na hilo wazo lako kabisa,muache tu huyo dhaifu amalzie miaka yake akarest in peace...wale makomandoo wanaomlinda ni hatari sana asee na wana silaha kali mno.
 
...Aliahidi kuwa wale Faru wangelindwa zaidi yake; muda si mrefu tumesikia habari za kuuwawa miongoni mwao. Hata sijui kama anapenda kukumbuka hii kauli yake....Tanzania, Tanzania nani aliyekuroga?
 
hivi una haja kuwa na silaha kama unalinda tikiti maji?! silaha za nini
 
humu cdhani km utapata jibu la kukuridhisha.nadhani ungejaribu kuvamia msafara wake halafu ukapata jibu.
 
Me nasikia hawana bastola na wakati mwingine wanakuwa na matoy ila kwa uhakika inaujaribu then utatupa majibu. Jitoe muhanga kamanda
 
Me navyojua hawabebagi siraha yoyote zile ala za bastola hakuna kitu wewe siku ukimuona anautubia mlenge na manati tu uone watavyokimbia
 
Hofu ya usalama wa raisi sio raisi kutekwa wala kudhuriwa, hofu ya usalama wa taifa ni Dr. Ulimboka
of cause lakini tusimpambe sana Dr.Ulimboka hana muda mrefu katika harakati.To me he is an ameture activits.The biggest threat of all time to JK and his followers that even his dumbass Bodyguards may fear to overcome is JamiiForum.
 
Mawazo yako sasa yanafanana na ya waliomtesa Dr. Ulimboka. Tanzania hatuna hulka hiyo. Usitake hata kupandikiza watu hisia za namna hiyo. Tanzania hatujafikia hatua hiyo, kwamba kila kitu kifanyike kwa kutumia nguvu baada ya kushindwa kutumia akili.
 
Back
Top Bottom