Walinzi wa kanisa Faraja Gosper church la Yombo Kiwalani wanusulika kuuwawa usiku wa kuamkia leo

Bata batani

JF-Expert Member
Nov 11, 2011
3,182
3,547
Watu wasiofahamika walivamia kanisa la Faraja Gosper Church lililoko maeneo ya Kiwalani, walivamia kanisa hilo
ila kwa bahati nzuri walipambana na walinzi wa kanisa hilo lakini katika mapambano hayo walinzi walivyoona wamezidiwa mmoja wao alikimbilia madhabauni na kuanza kupiga kengele.Baada ya kelele watu hao kuona hivyo waliamua kukimbia ila moja kati ya madhara yaliyotokea ni baadhi ya vitu kuhalibika na walinzi wawili waliumizwa vibaya kwani walipigwa na mapanga na marungu na wamelazwa hoi hospitali ya Temeke kwa kupata maumivu makali.


source of this news:wapo radio na itv taarifa ya habali
 
Back
Top Bottom