walimu wengine duuh

Joeli

JF-Expert Member
Apr 25, 2011
4,941
3,402
229982_394044354001685_980939053_n.jpg


uwa nikikuta ubao umejazwa mpaka chini uwa najiuliza umejazwaje
 
Huyu atakuwa Kakiko wa Mathematics Dept pale UDSM. Jamaa huwa anatema lekcha hadi anatoa mapovu.
 
Hahahaha huo muandiko kama wa daktari lazma ule space bana

Sent from my BlackBerry 9100 using JamiiForums
 
Du labda vyuoni, lkn afanye hivyo O'level tena mchanganyiko? Itakuwa kwi kwi kwi qwiqwi
Wengine anatafuta masifa midemu
 
dooh hapa kazi ipo sipati picha kwenye CV yake uzoefu kaweka miaka mingapi lols:clap2:
 
Hilo darasa haliwezi kuwa kijijini. Darasa Full tiles, mwalimu naye kaulamba, tai kwa kwenda mbele -hata lili pozi alilokaa siyo la kijijini!!!!!
Tembelea baadhi ya shule zinazojiita international/Academia zipo kama hiyo pamoja na kuwa na taa darini hakuna 'switch socket' kwa ajili ya hicho unachokisema sembuse shule za Kayumba.
Pili hata hao walimu wenyewe sina hakika kama wote ni competent kwenye ICT use.
 
Back
Top Bottom