Perry
JF-Expert Member
- Feb 24, 2011
- 10,043
- 2,000
<br />ndo matatizo ya kusoma course zinazotegemea kuajiriwa ndo utoke,ungepiga zako ufundi seremala hayo yote yangetoka wapi,
<br />
au uvuvi..
<br />ndo matatizo ya kusoma course zinazotegemea kuajiriwa ndo utoke,ungepiga zako ufundi seremala hayo yote yangetoka wapi,
mtumieni mkuu jk sms si mliona mwaka jana alisahau jamaa alivyotuma sms akawakumbuka.tumeni haraka mtazeekea mitaani walimu wng