Una maanisha nini? Chuo ngazi gani?Je walimu wa kike wa chuo nao wanafaa? Naomba mnijuze wadau!
Je walimu wa kike wa chuo nao wanafaa? Naomba mnijuze wadau!
Huyo achana nae ki2 tcha loh!mm mwenyewe nitaoa mwalimu ..huyu binti akiniletea longo longo baci namwoa mwalimu
kwa hiyo walimu ndio wanaoolewa kwa sana tu, mbona hata bank ukieda kila teller nae anapete yake? au inakuaje na hili
Wanaume wengi hawapendi wanawake wenye vipato vya juu. Hivyo mostly walimu ndo wanyonge wao, lol
Ila na we Bujibuji mmmh! ulifikaje huko!!?????Aise duh huu ni utafiti murua. Mtafanya soko lao liwe juu
Owa mwanasheria uone moto wake!
<br />wanalikizo mara mbili kwa mwaka ambayo ni tofauti na likizo yake ya kawaida<br />
hawaingii kazini siku za jumamosi na jumapili ukilinganisha na manesi/bankers<br />
wanakuwa na fikra endelevu.
Kapimwe a....... kwanza!!! samahani lakini!mimi pia mwalimu.
natafuta mwalimu mwenzangu.
watoto tukiwazaa tutawaita darasa la kwanza .la pili.la4
Labda tu wewe mwenzetu mwenye akili nyingi na maarifa ya hali ya juu ungetusaidia tu kutueleza mpaka hapo ulipofikia ukawadharau walimu, je wewe umefundishwa na nani?True, wanaume wazembe hukimbilia wanawake kama walimu ili wawaonee vizuri. Mie binafsi naona walimu hawana changamoto kwanza wanaboa, they r too overdecent.
walmu ndio mpango mzima..... nawapenda walimu mweeeeeeeeeehMhhhh kwa hiyo wengine hapa ni galasha tu au?
Hii inawezekana ina ukweli lakini hata hivyo mara nyingi tatizo huwa sio kipato ila ni ile tabia inayoletwa na uwepo wa kipato kikubwa kwa mwanamke kuliko mwanaume. Hii tumeshajadili hapa, kuwa mara nyingi kwenye ndoa mwanamke akiwa na kipato kikubwa kuliko mwanaume hali huwa tete sana. Najua kuna watu watabisha lakini ni ukweli usiopingika kuwa fedha ina tabia ya kubadilisha watu japo si wote.Wanaume wengi hawapendi wanawake wenye vipato vya juu. Hivyo mostly walimu ndo wanyonge wao, lol