Walimu waongoza kwa kuolewa ukilinganisha na sekta nyingine

Mkuu bujibuji yaani nafanya mpango huo, naona ndo sehemu pekee ninayoweza kujisikia nimeoa. Huko kwingine, hakufai ni wasumbufu, wako busy, ukioa hakuna tofauti na maisha ya geto ingawa si wote.

bora hata ya geto mkuu, you will end up being treated as a toilet mug

Ngoja niongeze sababu zangu kwa nini walimu wanaongoza kwa kuolewa:
1. Wengi wao hupangiwa kazi vijijini ndani kabisa ambako hakuna interaction kubwa na wanaume wengi wenye kipato, kwa hiyo wanaishia kuoana wao kwa wao au hata kuolewa na katibu kata au mwenyekiti wa kijiji
2. Marriages nyingine ndiyo zile zinazoitwa "marriages of convenience", yaani mwanamke anafunga ndoa ya uongo na mtu aliye mjini ili tu asipangiwe kazi kijijini. Hizi ndoa haziwi za ukweli na wengine "huolewa" hata na ndugu zao ili mradi apate cheti cha ndoa na pete.

Wanaume wengi hawapendi wanawake wenye vipato vya juu. Hivyo mostly walimu ndo wanyonge wao, lol

wanawake wenye vipato si kwamba wanaogopewa na wanaume ila ni ile hali ya wanawake kujenga dharau kwa mwanaume kwa kuamini kipato kinamlinda

Wanaume wengi hawapendi wanawake wenye vipato vya juu. Hivyo mostly walimu ndo wanyonge wao, lol

sio kweli. Hakuna anayeogopa mwanamke mwenye hela.tena vijana wa sikuiz wanavyopenda mteremko na kulelewa sidhan kama wanaogopa.

WANASHERIA NA WAHANDISI NDIO WANASHIKA MKIA. Walimu wanajua malezi!

Unajua kazi ya ualimu, hususan ualimu wa chekechea na shule ya msingi ni lazima uwe na upendo wa kweli na watu hasa watoto. Sasa huo upendo una trickle down hadi kwenye mapenzi ya kindoa.

Kuwa mwalimu wa chekechea au msingi halafu usiwe na subira na upendo basi wewe utakuwa uko kwenye hiyo fani kuchukua paycheck tu.

Pia manesi nao huwa ni wake wazuri sana. Tena hawa mimi nadhani wanakuwaga wake wazuri mno kushinda hata walimu.

Unajua kazi ya ualimu, hususan ualimu wa chekechea na shule ya msingi ni lazima uwe na upendo wa kweli na watu hasa watoto. Sasa huo upendo una tricle down hadi kwenye mapenzi ya kindoa.

mmh we Nyani,manesi na night shifts!

Kashaija.... upo wapi? Mada yako inajadiliwa hapa. Lol! Ndio maana mimi nilioa Mwalimu eeeeh?

Nimetembelea shule kadhaa kwa ajili ya kuzindua mradi wa chakula shuleni. Nimekuta mabinti wadogo wadogo wakiwa na pete zao za ndoa.
Hiki ni kiashirio tosha kuwa soko la walimu kwenye sekta ya ndoa liko juu ukilinganisha na wafanyakazi wa benki, ambako kwenye wasichana 12 ni mmoja tu ndo mwenye ndoa.
Hongera sana walimu.
Wenyewe wasema haiba.... Big up teachers

mmh we Nyani,manesi na night shifts!

Manesi wana upendo wa ajabu kweli. Ni wazi si manesi wote lakini ile kazi bana huwezi kuifanya kama kwa asili wewe si mtu wa upendo kwa watu.

Na hizo zamu za usiku wala si ishu.

Ila ukiwa na demu mwalimu, tena hawa warembo wa siku hizi utapigwa mizinga hadi utakoma. Wengi wamechanganya njaa na tamaa katika box moja kwa hiyo kutenganisha ili upate mke mwema humo ndani inahitaji utaalam

Nadhani katika taaluma yenye wanawake wengi ni waalimu labda na afya/wauguzi, Mwalimu ukimuoa ukitaka kuhama naye kwenda popote Wilaya yoyote au hata Kata yoyote ile lazima kuna shule ya Sekondari, lakini sekta nyingine utakuta wilaya au mkoa fulani hakuna ofisi zao, pia mwalimu saa Nane yupo nyumbani na hana safari za kikazi, wengine mpaka saa TANO USIKU atasema yupo kikao cha bodi! watu wanaona ya nini mke wa kwako au wa kampuni alikoajiriwa!

Back
Top Bottom