Walimu wanadalili zote kugoma

mansakankanmusa

JF-Expert Member
Sep 30, 2010
4,163
787
wale wanye tafit zao zisizokuwa na vyanzo, angalieni
hawa walimu wanadalili zote kugoma kwa kuwa sasa wanaperform
mambo yao kikanda, kigoma, kanda ya ziwa, kanda ya kaskazini
pwani nk

lingine lamsingi katika hilo ni

1 gogoro baina ya walimu na chama chao CWT
2 kubainisha mgomo wao ni taarifa zilizosemwa na bila kupata wafuatiliaji
kuwepo waliofoji vyeti na kuzorotesha wenzao, hili tatizo litakuja kuwa kama fumanizi kwa wale waliofoji

haiyamkiniki kuwa hata wenzao wenye sifa wanashushia kipigo, maana ni wezi na waliochuma fedha ambazo si halali

hakika hili litakuja kuwa pigo kubwa, na nina uhakika heshima kwa walimu itakuja kudhihilika
 
walimu hawawezi kugoma kwa kuwa ni waoga na dhaifu kufanya maamuzi magumu na hata hivyo madhara yao kwa kugoma ni kidogo sana compared to madaktari..so acha wagome tu hawana effect zozote
 
user-online.png
Kigogo
walimu hawawezi kugoma kwa kuwa ni waoga na dhaifu kufanya maamuzi magumu na hata hivyo madhara yao kwa kugoma ni kidogo sana compared to madaktari..so acha wagome tu hawana effect zozote

Uko sahihi sana Mkuu, hasa hapo kwenye red. Na CWT yao ni usumbufu mtupu!
 
Back
Top Bottom