Walimu waamua kutumia silaha ya mwisho.

Mawazo haya, na akili ya namna hii ni DHAIFU SANA na uchochezi wa namna hii unaashiria udhaifu na jazba, think before you scribe, shame upon any instigation agent!
 
Wana Jf.
Katika kuonesha kwamba walimu tumechoshwa na kupuuzwa na serikali sasa tumeamua kutumia Silaha ya mwisho ili matokeo yake iwe funzo kwa serikali hii dhaifu kama msg inavyosomeka hapa chini.

Ndugu mwalimu: Katika somo au masomo yako hakikisha humwandai mwanafunzi kupata A,B,C wala D, mwandae katika kiwango cha F kwasababu hata akipata A juhudi zako ni sawa na bure. HII NDIO SILAHA YETU YA MWISHO. Tuma msg hii kwa walimu wengine.

Nimepokea msg hii ambayo imeonekana kusambazwa kwa kasi kwa walimu wengi mana nimeipata kutoka kwa walimu tofauti tofauti.

Haya sasa KAZI IMEANZA je dhaifu atakubali kutusikiliza au kwa silaha hii pia atakwenda mahakamani?!

Mawazo haya, na akili ya namna hii ni DHAIFU SANA na uchochezi wa namna hii unaashiria udhaifu na jazba, think before you scribe, shame upon any instigation agent!
 
Mawazo haya, na akili ya namna hii ni DHAIFU SANA na uchochezi wa namna hii unaashiria udhaifu na jazba, think before you scribe, shame upon any instigation agent!

ww kweli dhaifu. Na bado mtasema yote mwaka huu.
 
Taifa linaloenda kuandaliwa kwa mising hii ni taifa la ajabu sana. Kama walimu na juhudi zote za kuwafanya wanafunzi wafaulu bado wanafeli, ke walimu wakianza juhudi za kufelisha si ndo basi hakuna umuhimu wa shule?EE MUNGU UTUREHEMU KWA MAANA HATUJUI TULITENDALO NA UTUPE HEKIMA YAKO.AMINA
 
Sawa, mwandae apate F ili akanunue leseni class C awe dereva wa basi na asiweze kusoma hata alama za barabarani asababishe ajali ya basi alilokubeba mwalimu wake bil nauli.
Bottomline - kuzzalisha kizazi cha wajinga ni kujikomoa menyewe.
 
Chonde chonde walimu msifanye mambo hayo , jueni kuwa mtaji wa ccm kuendelea kutawala ni ujinga na umaskini wetu.
 
Mi naona siku zote wamegoma, wanafunzi wanamaliza Std 7 hawajui kusoma wala kuandika,
 
Back
Top Bottom