Gagurito
JF-Expert Member
- Feb 11, 2011
- 5,600
- 803
- Thread starter
- #41
<br />Swala si uaminifu kikubwa usimweke m2 wako katika mazingira hatarishi kama hayo kwa ni hata kama ni msimamo huwa unaisha cz wakati wa mazoezi mwl ni rahisi kumshikashika sehemu zenye mihemko so unategemea nn uzalendo unaisha usimruhusu mkeo eti Gym mazoezi ya kukimbia yanatosha na pushup tosha kabisa
<br />
Wenzio wanataka mazoezi za kuendesha baiskel (sijui jina lake la kitaalamu) kuhusu home hawataki kusikia, si mnafahamu gym maonyesho/mauzo sometimes?
Nakubaliana nawe kuhusu kuepuka mazingira hatarishi!