WALIMU WA KlSWAHILI WAMDANGANYA MZUNGU

Duu kumbe na wazungu pia hukurupuka!
Alitakiwa atafute kamusi au aulize watu zaidi ili kujiridhisha.
 
bg_42.jpg

Shahawa

Is Swahili for soul & effervescence - to me it is the magic
of palms by the sea & the sound of crickets exploding in the shade.
 
Shahawa ni neno linalotokana na lugha ya Kiarabu (Shahwat شهوة ) na maana yake ni Matamanio au tamaa na kwa lugha ya Kiingereza ni Lust, au Desire.

Na mara nyingi neno utumiwa kumaanisha matamanio ya kingono... Manii na neno Shahawa ni vitu viwili tofauti, ila mazoea yamepelekea kuyatumia yote mawili na kuonekana kuwa kinacho zungumza ni kitu kimoja
.
 
Insharraah mashaarah X-Pastel! Ama kweri umeonyesha ufahamu wako wa ndani na makini juu ya diyn ya Kiisramu na rugha ya Kialabu! Vyote wavijua sawiya Ustaadh weye! Arrahu akbar!!!
 
Kuzungumza kiarabu sio lazima uwe Muislamu.Katika post ya X-Paster hajasema chochote kuhusu dini ya Kiislam.Read the post again!Don't mix things up!
 
Shahawa ni neno linalotokana na lugha ya Kiarabu (Shahwat شهوة ) na maana yake ni Matamanio au tamaa na kwa lugha ya Kiingereza ni Lust, au Desire.

Na mara nyingi neno utumiwa kumaanisha matamanio ya kingono... Manii na neno Shahawa ni vitu viwili tofauti, ila mazoea yamepelekea kuyatumia yote mawili na kuonekana kuwa kinacho zungumza ni kitu kimoja
.

kwa hiyo mzungu alipokua anaongelea shahawa alikuwa ame base wapi? kwenye tafsiri ya kiarabu au ya kiswahili?
 
Shahawa ni neno linalotokana na lugha ya Kiarabu (Shahwat شهوة ) na maana yake ni Matamanio au tamaa na kwa lugha ya Kiingereza ni Lust, au Desire.

Na mara nyingi neno utumiwa kumaanisha matamanio ya kingono... Manii na neno Shahawa ni vitu viwili tofauti, ila mazoea yamepelekea kuyatumia yote mawili na kuonekana kuwa kinacho zungumza ni kitu kimoja
.

the way i see it,ni kwamba mtoa mada kakurupuka,kwakudhani kwa sababu ya uswahili wake basi anajua vizuri KISWAHILI
 
Shahawa ni neno linalotokana na lugha ya Kiarabu (Shahwat شهوة ) na maana yake ni Matamanio au tamaa na kwa lugha ya Kiingereza ni Lust, au Desire.

Na mara nyingi neno utumiwa kumaanisha matamanio ya kingono... Manii na neno Shahawa ni vitu viwili tofauti, ila mazoea yamepelekea kuyatumia yote mawili na kuonekana kuwa kinacho zungumza ni kitu kimoja
.

Jamani JF idumu hata elimu tunapata jamani!!, ktk umri wangu wa miaka 69 nilikuwa sijui kama shahawa na manii ni tofauti, siku zote nilijua ni kitu kimoja.

Wanawake nao nasikia eti wanakojoa, sasa wanakojoa nini?, nao ni manii au ni kitu kingine?
 
jamani jf idumu hata elimu tunapata jamani!!, ktk umri wangu wa miaka 69 nilikuwa sijui kama shahawa na manii ni tofauti, siku zote nilijua ni kitu kimoja.

wanawake nao nasikia eti wanakojoa, sasa wanakojoa nini?, nao ni manii au ni kitu kingine?

ama kweli kuishi kwingi ni kuona mengi.
Hivi mwandani wako ameshawahi fika kwenye kilele cha huba?
Kama jibu n i ndiyo, basi atakuelewesha,
na kama jibu ni hapana, basi x-paster atakusaidia.
 
Back
Top Bottom