Walimu wa degree na diploma ajira lini?

jambo japhet

Member
Mar 5, 2011
17
0
waungwana naomba kwa mwenye habari ya kuaminika anisaidie kunijulisha juu ya ajira kwa walimu wa sekondary ni lini? Pia naomba mwenye kuweza nisaidia kupata shule ya kufundisha hapa mjini anisaidie contact ili ni apply kwani nimemaliza shahada ya ualimu mwezi july mpaka sasa sijapata kazi, Binafsi ni mwalimu wa kingereza (English 4 both o level and a level) na general studies au civics. jamani tusaidiane kwa hili.
 
Serikali imedai itaajiri walimu 23000 kwa mwaka mwaka wa fedha 2012-2013 nadhani ni mpaka mwezi wa saba ndio mwaka wa fedha wa serikali VUMILIA wanaweza kuwahi pia kuajiri
 
Oya JANUARY 2012 hiyo subiria kidogo m2 wangu maana subira uvuta kheri au sio.....
 
Sio wa Diploma na Digrii tu, hata walimu wa 'certificate' wanasaga lami. Hayo ndo maisha bora kwa kila mtz tena kwa kasi zaidi, nguvu zaidi, na ari zaidi!
 
Siyo hao tu. Namjua mtu aliyemaliza masters degree. Alikuwa mwalimu wa shule ya msingi. Huu mwaka wa pili bado anafundisha shule ya msingi wameshindwa kumpangia kazi inayolingana na elimu yake. Ndiyo Bongo. Mpaka uhonge vinginevyo wanadhani wanakukomesha wewe kumbe wanalikosesha taifa nguvu kazi.
 
Ajira zote ziko tayari kwa mwaka wa fedha 2011/2012, kwahiyo vuta subira zitatangazwa hivi karibuni.AMIN HIVYO.
 
Vumilia kaka maana tunaosubiria ajira tupo wengi sana,nadhan mpaka mwezi wa pili mambo yatakuwa yashajipa.
 
ajira kwa upande wa walimu zitatoka mda si mrefu from now.inasemekana hazitachelewa kama mwaka jana
 
Back
Top Bottom